Miaka hiyo siyo ya leo!Kufa akifi kabisa ila ule umaarufu wake utapotea, kiko wapi TLP au NCCR MAGEUZI?
Miaka hiyo siyo ya leo!Kufa akifi kabisa ila ule umaarufu wake utapotea, kiko wapi TLP au NCCR MAGEUZI?
pesa huongea kwa sauti kubwa sanadah..another cash to be spent on a senseless by-election!!!
tunaomba asiuliwe akwilina mwingine wakati wa uchaguzi...si angevumilia tu hiyo miaka miwili
Pole sana ila mapambano bado yanaendele!!!!!!!Aisee nakosa hata neno la kusema
Sielewi haya mambo jamani
Mbona Mwenyekiti wetu hasemi kitu
Hali inatishia
Nmeingiwa na baridi ghafla
Weekend yangu imekuwa mbaya mnooooo
Yaani nimefurahi sana, tulishawaambia huko hicho kikundi cha chama mfu ni cha magaidi, na wala rushwa wakubwa, karibu sana CCMMbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kuniuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya luzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama
> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za luzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa
> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania
"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA kwahiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara
Habari zaidi....
Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.
Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.
Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.
Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.
Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).
Kabisa wabunge wengi wa chadema naapa hawarudi 2020 akiwemo Zitto kabwe wa ACT wazalendoKwa mtu anayeona mbali na anayetaman kuendekea na uongozi wa kisiasa 2020 hawezi kuenselea kubaki chadema
Ngoja aende huko Lumumba ili wamjibu vizuri wapi ziliko 1.5 trln....Chadema imejaa ubinafsi na ubadhirifu. waitara anaweka wazi namna ruzuku inavyotumika vibaya huko.
Mkuu.. Nikupe pole kwakuwa wewe hujui chochote pale chadema, ila kina mbowe ndio wanajua fika.Huyu atakuwa kabinywa pahala akabinyika, ndo maana kafanya huu ujinga hata sura yake hai akisi ya anacho kisema,
Woga wetu ndio umasikini wetu,
Wanaume wenye misimamo thabiti wako wapi? ama hakika wanaume miaka ya hii karibuni wamekuwa adimu na wanazidi kuadimika
Mungu km vipi poteza hii dunia tengeneza ingine ianze upya, hii ni aibu