Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

WANA AZA BOY MPOOOOOO?

Miaka mingi sanaa nimemisi sanaa ukauzu tuliokuwa nao vijana makauzu tuliosoma Azaboy nasikitikaninapo ona mwanaazaboy anakuwa mtu hasiye na msimamo pole pole na waitara!

Hawa watu wanatuaibisha masela.
 
Azam boy ya kipind icho tifu tifua tuuuu

Ngum bangi kira aina ya fujoh ni aza boy

Respect
 
Mkuu ukiwa ccm akili unaziweka nje ya jengo pale lumumba....ukitoka ndio unazipitia..

Kwahio usimshangae
 
Next time ili kuokoa fedha za umma kwa chaguzi zisizokwisha, ukichaguliwa na chama, kama unatoka basi uagwe kwa matarumbeta tu...kurudia uchaguzi bila sababu za msingi kunaiumiza nchi. Tutawezaje kununua ndege zaidi na kumaliza SGR kama siasa zinabeba hela zote?
 
Mwita simshangai hata kidogo. Ni mtu hovyo sana kupata kutokea kwenye siasa.
Yangu alipokuwa president wa daruso. No wonder akagombea tena huo ubunge kwa tiket ya Ccm na akaupata
 
CDM POLENI NA MBADILIKE NJOONI CHAMA KUBWA TUPIGE KAZI NA SI POLOJO..
Wote wakienda Ccm nini maana ya vyama vingi?

Kimsingi Nyerere akifufuka Leo, atawapiga watu makofi ya uso. Jinsi alivyo jitahd kuasisi vyama vingi na akatuelewesha nini maana ya demokrasia Leo hii tumekuwa mazuzu.

Walioko upinzan nao wenyewe ni miongoni mwa wavunja upinzan. Chama tawala chenyewe ndio kabisaaa kinataman turudi enzi za tanu. Shame on us
 
Hiiserikali naiangalia tu afu nasema hiiiii
 
Iko palepale kivipi wakati wabunge wake na madiwani wake na wabunge wake wanakihama hicho chama kila kukicha. Wanachama wa kawaida ndiyo balaa. Kimebakia Mbeya tu ambako nako sasa mind setting ya wananchi imeanza hatua kwa hatua. Kitabaki na akina Kelwisi tu wasiokuwa na impact ye yote kwenye chama.[/QUOTE
CHADEMA haijawahi kutetereka hata siku moja;mbinu hii ya ulaghai haitasaidia zaidi ya kupoteza rasilimali.
 
Wote wakienda Ccm nini maana ya vyama vingi?

Kimsingi Nyerere akifufuka Leo, atawapiga watu makofi ya uso. Jinsi alivyo jitahd kuasisi vyama vingi na akatuelewesha nini maana ya demokrasia Leo hii tumekuwa mazuzu.

Walioko upinzan nao wenyewe ni miongoni mwa wavunja upinzan. Chama tawala chenyewe ndio kabisaaa kinataman turudi enzi za tanu. Shame on us
Mtoto akiwa kwenye mgongo was Mama take hajui umbali was safari..
Hawajui in upinzani...
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Mwikwabe Waitara, atangaza kujiuzulu CHADEMA na kuhamia CCM. Kajiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

> Asema sababu ni kutofautiana na viongozi wa ngazi ya juu wa CHADEMA baada ya kuhoji kuhusu matumzi ya ruzuku pamoja na demokrasia ndani ya chama

> Ameeleza kuwa alihoji matumizi ya Milioni 237 za ruzuku kwani mpaka sasa CHADEMA haina Ofisi Kuu, ya Kanda wala Mkoa

> Mwenge wa Uhuru umekuja kuzindua miradi ya maendeleo niliyoipigania lakini naambiwa usiende pale na mimi shida yangu haikuwa CCM pale ilikuwa ni mradi niliopigania

"Leo nimejiondoa rasmi CHADEMA, kwa hiyo mimi sio Mbunge tena, nimetupa jongoo na mti wake" amesema Mwita Waitara

“Mimi nataka niende mahali ambako kuna kazi za kufanya,” Waitara amewaambia waandishi na kuongeza kwamba anatamani kuwa Waziri Kamili.


Habari zaidi....

Mbunge wa Ukonga (Chadema), Mwita Waitara amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM leo Jumamosi Julai 28, 2018.

Waitara ametangaza uamuzi wake huo leo katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ofisi ndogo za CCM Lumumba mjini hapa, akiwa sambamba na katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

Kwa uamuzi huo wa Waitara ambaye alikuwa CCM kabla ya kujiunga Chadema, jimbo la Ukonga linabaki wazi.

Waitara amekuwa mbunge wa pili wa Chadema na wa tatu wa upinzani kuhama chama na kujiunga na CCM.

Wengine wa Dk Godwin Mollel (Siha) na Maulid Mtulia (Kinondoni).

ALICHOANDIKA Zitto:

View attachment 821107

Hivi vyama vya siasa Tanzania hakuna mambo ya itikadi kabisa yaani kwa sasa vimebaki kuwa "vehicles" za kupata nafasi ya kugombea uongozi kwa kuwa hatuna wagombea binafsi?

Kwa sababu kama kuna hata chembe ya "itikadi ya chama" na una wanachama wanawamini kwenye hilo pengine ni changamoto sana mtu kuama tu kwenye chama kingine hasa CCM kwa sababu ya tofauti ya itikadi, pengine ingewezekana kutoka CHADEMA kwenda kwenye vyama tofauti.

Kwa mtazamo wangu hili ni suala la uroho wa madarasa zaidi yaani mtu anaona ni kwa namna gani ataendelea kuwa mbunge, kuwa kwenye nafasi yake hivyo analazimika kujiunga na CCM hasa kutokana na hali ya kisiasa ulivyo kwa sasa kwamba "CCM lazima ishinde kwenye kila uchaguzi".

Huu mtazamo tu ila nafikiri bado Bw. Mwita ana uhuru wa kuchagua chama kipya, haki yake kikatiba. Historia inaandikwa hapa, patakuwa tu na mwisho wa CCM siku moja.
 
Watanzania hatujakata tamaa, nchi yetu imestaarabika na namna pekee ya kubadilisha jamii ni kupitia siasa. Sasa kama mpaka leo kuna watu wanapita bila kupingwa kwasababu kamati kuu ya taifa haijateua mgombea wa upinzani wafikiri wananchi tutafanyaje?

Kamati Kuu isipoteua mgombea wa upinzani, who do you think is the ultimate loser? Chama cha Upinzani au wananchi? Kwa maneno mengine, siasa zikitawaliwa na chama kimoja, ni nani muathirika mkuu wa hali hiyo? Viongozi wa vyama vya siasa?
 
Habarini wanajamvi.....

Wiki kadhaa nyuma nilitoa andiko juu ya kushindwa kazi kwa waitara hasa alipokuwa chadema..Ukweli usiofichika kuwa ndugu waitara alitelekezwa na chadema kiasi kwamba kazi zikawa zinamuelemea, nilimuonya kuwa asipofanya maamuzi magumu basi ataangukia pua.

Kwa niaba ya wanywa bia UEFA, UWANJA MPNA RELINI,MASIKA,MOSHIBAR NA ZINGINE....Napenda kukukaribisha kwa bia maeneo ya uwanja mpana siku utakayokuwa tayari...karibu tuyajenge.
 
Back
Top Bottom