Habarini wanajamvi.....
Wiki kadhaa nyuma nilitoa andiko juu ya kushindwa kazi kwa waitara hasa alipokuwa chadema..Ukweli usiofichika kuwa ndugu waitara alitelekezwa na chadema kiasi kwamba kazi zikawa zinamuelemea, nilimuonya kuwa asipofanya maamuzi magumu basi ataangukia pua.
Kwa niaba ya wanywa bia UEFA, UWANJA MPNA RELINI,MASIKA,MOSHIBAR NA ZINGINE....Napenda kukukaribisha kwa bia maeneo ya uwanja mpana siku utakayokuwa tayari...karibu tuyajenge.