Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya?

Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
Kwa hela wanazolipwa na Maisha yalivyo sasa, LAZIMA wataingia tu mkuu, aise wabunge wanalipwa hela nzuri sana sana sana...
Mbele ya pochi hakuna ubabe mkuu..
 
Watu wamepiga kura kuepuka lawama.
Lakini si Kama wanaikubali Sana ccm
Magufuli amefanikiwa KUITAWALA SIASA ya Tanzania yeye ndo kusema.
Watu sasa hivi hawajali Mambo ya SIASA.
Wanaona litakalotokea ndo Hilo Hilo.
Watz wanaipenda sana ccm ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa ccm kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
 
Back
Top Bottom