Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya?

Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
Naona watakuwepo wabunge wa viti maalum tu
 
Hivi bara mpaka sasa wameshinda upinzani wangapi ?
Wale vibaraka watakuwa wanafahamu leo siwaoni humu ndani. Polepole hakukosea aliposema lazima tuwafundishe adabu. Khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa wale wapeenzi wa movie hii picha inaonesha sterling wa upinzani anaelekea kibla mapema sana wakati wa pambano.
 
Waache kuvuta mpunga kwa sababu za kijinga hivyo. Hayo mambo hayapo. Hata CDM mmoja tu akishinda atashangilia na kwenda mjengoni na kusahau wenzako wote walioliwa vichwa.
 
Na Pemba pia ila Maalim anaweza kuwazuia hao ila wa Mtwara ni 1 x1 tu huyu
Hivi Maalim anakuzuiaje usiende fanya kazi yenye mshahara a marupurupu, na mafao baada ya miaka 5 alafu unakubali? Wakati maalim anatunzwa na serikali na hakulipii kodi ya nyumba?
 
Chadema viti maalum wasahau. Magufuli ni zaidi shetani.
Mzee chadema imemletea ugonjwa wa moyo na ile kukubalika kwa lisu Hadi huko Kanda ya ziwa bado Kuna muumiza moyo Sana tu. Hapo ccm lazima wapitishe Sheria kufuta upinzani, mzee kahubiri flyover Mara ndege watu hawamwelewi tundu lisu Bado anakusanya nyomi bila wasanii. I'm happy wapinzani wapumzike waachwe kuteswa aisee
 
Maana yake ruzuku ndo kwishney. Wakiwa na ruzuku waliomba msaada wa kuchangiwa sasa bila ruzuku itakuaje
Nafikiri watawaomba wafuasi wao huku mitaani kama ilivyozoeleka.
 
Hivi Maalim anakuzuiaje usiende fanya kazi yenye mshahara a marupurupu, na mafao baada ya miaka 5 alafu unakubali? Wakati maalim anatunzwa na serikali na hakulipii kodi ya nyumba?
Watu wanawazia ujinga tu.Hata kama ni mimi siwezi kuacha hela kisa maalim.
 
Kiukweli na mimi ntashangaa, Maana wababe wametumia maguvu sana kuiba kura....Sijui hata maalim seif huko anaposhikiliwa kama atatoka salama
 
Back
Top Bottom