CHAMA Kipya cha upinzania Kinachokuja Nafikiri Mtatakiwa kuelew kuwa WATANZANIA hawataki USHOGA na Hawataki VIBARAKA WA MABEBERU.
Mtatakiwa akuelewa kuwa Tanzania Kufikiria unaweza kutumia nguvu ya umma au Vitisho havitakusaidia Bali vitakuangusha Sana. TANZANIA by Nature sio watu Wa Fujo ni Watu wa...... MUNGU ATAWALIPA😂🤣😂🤣... NI WATU WAKUTOA LAANA BILA VITENDO.
CHAMA pinzani kitakachukuja kinatakiwa kujua CCM Bado inanguvu sanaaaaa Misijidanganye na mitandao kabisa hatujafikia kuchukua takwimu za ushindi Wa kisiasa kwa kutumia Mshindo nyuma Wa mitandao (kimewaangusha CHADEMA kwa asilimia 60 hiki Mlijifanya kumuuiga Trump kuvikashifu vyombo vya habari😂🤣😂🤣 Mwenzenu Trump Kule marekani kuna TV inatwa FOX TV, yaani hawa ni wafia Republican. So pamoja na kuponda vyombo vya habari na kuamini Mitandao ya kijamiii alijua kabisa wafuasi wake wasiofuatilia mitandao ya kijamiii watapata news kupitia fox)
Wapinzani Jijengeni hata kwa miaka 10 bila kuwa na tamaa ya kuwania Uraisi Kuweni na vitega uchumi Kuweni na VYOMBO VYENU DHABITI VYA HABARI KAMA TV, RADIO NA,YOU TUBE CHANEL, ILI muwe na uwezo Wa kushindana na CHAMA kikongwe na chenye nguvu Sio Mnaibuka wakati Wa UCHAGUZI na kufikilia kujaza watu ndio njia pekee y kushinda uchaguzi🤨 Anzienii Kwenye Mashina, Kata,Tarafa wilaya mpaka mikoa Kuweni na ufuatiliaji Wa wanachama kuanzia ngazi za chini.
Jifunzeni Kusifia na kutambua Michango ya CHAMA Tawala..... haiwezekani muombe kura wananchi wenye akili Timamu kwa. Kutukana na kukashifu hata kile kidogo walichofanya wenzenu Sisi Sio Ulaya Sisi ni waungwana sana Tunapenda Watu wanaotambua Michngo ya wenzeo, Msiendeshe Kampeni zenu kwa kutumia Mifano ya Ulaya na Marekani Mtakwamaaaaa
NAKIKARIBISHA CHAMA KIPYA CHA UPINZANI NATUMAIN KITAKUA KINAJIFUNZA SASA .
NA TUTAKIWA NA UPINZANI WA KWELI
PONGEZI RAIS WANGU MPENDWA RAIS WA AFRICA KIBOKO YA MABEBERU NDUGU JONHE MAGUFULI.
NAKUAOMBA USIBWETEKE NAKUOMBA LICHUKULIE BUNGE KAMA WAPINZANI WAKO WAKUBWA KWA KUFANYA IVYO UTALETA MAENDELO AMBAYO YAKUFANYA UACHE ALAMA KATIKA MAISHA YA WATU.
UKIENDELEA KUTIMIZA MAENDELEO NAKUOMBA KUMBUKA TUKO NYUMA YAKO KWA SARA NA KUKUSAPOTI ILA PIA NA WEWE USITUSAHAU KUWA WATOTO WAKO LAZIMA TUVAE TULE NA TUENJOY MAISHA PIA WAKATI FULANI TULE BATA😂😂😂😂 PONGE MSUKUMA WA SHOKA