n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kura gani mmeibiwa manyumbu?. Wananchi mliwafanyia nini?.Kiukweli na mimi ntashangaa, Maana wababe wametumia maguvu sana kuiba kura....Sijui hata maalim seif huko anaposhikiliwa kama atatoka salama
Ilishawahi kutokea huko nyuma sijui itakuwaje maana mzee Maalim huwa hasamei hata kidogo. Tumwombe tu MUNGU asikinukishe maaana kaachwa mbali sana na MwinyiHivi Maalim anakuzuiaje usiende fanya kazi yenye mshahara a marupurupu, na mafao baada ya miaka 5 alafu unakubali? Wakati maalim anatunzwa na serikali na hakulipii kodi ya nyumba?
Kimei kashinda na kuwa mbungeMwenye matokeo ya Vunjo wadau aweke hapa
Wananchi jana tuliopiga kura halali ni kama tulienda kucheza tu.Kura gani mmeibiwa manyumbu?. Wananchi mliwafanyia nini?.
Ya kweli si wangeleta kavideo kwajinsi mlivyokua wakuda.............hizo ni dalili za mwisho marehemu upinzani akiaga dunia atatunga kila awezalo kuonewa hurumaJamani ni ya kweli haya?
Nyie upinzani mna matatizo ya akili, ameshinda wa cuf lkn bado mnataka kupingaCCM kwa kuigiza tu, hawajambo!
Kimei kashinda na kuwa mbunge
CHAMA Kipya cha upinzania Kinachokuja Nafikiri Mtatakiwa kuelew kuwa WATANZANIA hawataki USHOGA na Hawataki VIBARAKA WA MABEBERU.
Mtatakiwa akuelewa kuwa Tanzania Kufikiria unaweza kutumia nguvu ya umma au Vitisho havitakusaidia Bali vitakuangusha Sana. TANZANIA by Nature sio watu Wa Fujo ni Watu wa...... MUNGU ATAWALIPA๐๐คฃ๐๐คฃ... NI WATU WAKUTOA LAANA BILA VITENDO.
CHAMA pinzani kitakachukuja kinatakiwa kujua CCM Bado inanguvu sanaaaaa Misijidanganye na mitandao kabisa hatujafikia kuchukua takwimu za ushindi Wa kisiasa kwa kutumia Mshindo nyuma Wa mitandao (kimewaangusha CHADEMA kwa asilimia 60 hiki Mlijifanya kumuuiga Trump kuvikashifu vyombo vya habari๐๐คฃ๐๐คฃ Mwenzenu Trump Kule marekani kuna TV inatwa FOX TV, yaani hawa ni wafia Republican. So pamoja na kuponda vyombo vya habari na kuamini Mitandao ya kijamiii alijua kabisa wafuasi wake wasiofuatilia mitandao ya kijamiii watapata news kupitia fox)
Wapinzani Jijengeni hata kwa miaka 10 bila kuwa na tamaa ya kuwania Uraisi Kuweni na vitega uchumi Kuweni na VYOMBO VYENU DHABITI VYA HABARI KAMA TV, RADIO NA,YOU TUBE CHANEL, ILI muwe na uwezo Wa kushindana na CHAMA kikongwe na chenye nguvu Sio Mnaibuka wakati Wa UCHAGUZI na kufikilia kujaza watu ndio njia pekee y kushinda uchaguzi๐คจ Anzienii Kwenye Mashina, Kata,Tarafa wilaya mpaka mikoa Kuweni na ufuatiliaji Wa wanachama kuanzia ngazi za chini.
Jifunzeni Kusifia na kutambua Michango ya CHAMA Tawala..... haiwezekani muombe kura wananchi wenye akili Timamu kwa. Kutukana na kukashifu hata kile kidogo walichofanya wenzenu Sisi Sio Ulaya Sisi ni waungwana sana Tunapenda Watu wanaotambua Michngo ya wenzeo, Msiendeshe Kampeni zenu kwa kutumia Mifano ya Ulaya na Marekani Mtakwamaaaaa
NAKIKARIBISHA CHAMA KIPYA CHA UPINZANI NATUMAIN KITAKUA KINAJIFUNZA SASA .
NA TUTAKIWA NA UPINZANI WA KWELI
PONGEZI RAIS WANGU MPENDWA RAIS WA AFRICA KIBOKO YA MABEBERU NDUGU JONHE MAGUFULI.
NAKUAOMBA USIBWETEKE NAKUOMBA LICHUKULIE BUNGE KAMA WAPINZANI WAKO WAKUBWA KWA KUFANYA IVYO UTALETA MAENDELO AMBAYO YAKUFANYA UACHE ALAMA KATIKA MAISHA YA WATU.
UKIENDELEA KUTIMIZA MAENDELEO NAKUOMBA KUMBUKA TUKO NYUMA YAKO KWA SARA NA KUKUSAPOTI ILA PIA NA WEWE USITUSAHAU KUWA WATOTO WAKO LAZIMA TUVAE TULE NA TUENJOY MAISHA PIA WAKATI FULANI TULE BATA๐๐๐๐ PONGE MSUKUMA WA SHOKA
Nafikiri viti hivi vinaangalia kura za urais AMA. Maana Toto Tundu amepata Asilimia fulani katika baadhi ya majimbo. Hivyo wanaweza kuambulia viti kama 20 hiviChadema viti maalum wasahau. Magufuli ni zaidi shetani.
Idadi ya wabunge. Ndo maana Zitto hakuwa na mbunge wa viti maalumNafikiri viti hivi vinaangalia kura za urais AMA. Maana Toto Tundu amepata Asilimia fulani katika baadhi ya majimbo. Hivyo wanaweza kuambulia viti kama 20 hivi
Sio kwamba wanaangalia idadi ya wabunge walioshinda?Nafikiri viti hivi vinaangalia kura za urais AMA. Maana Toto Tundu amepata Asilimia fulani katika baadhi ya majimbo. Hivyo wanaweza kuambulia viti kama 20 hivi
Duh! Kwa hiyo upinzani kwa heri !!! Ingawa tunaona powa siyo mazuri haya. BUNGE bila upinzani litapoa sana sana! Maana makamanda wote chali labda Halima amwangushe RashidIdadi ya wabunge. Ndo maana Zitto hakuwa na mbunge wa viti maalum
Khaa! Hapa nilikuwa natumaini Mbatia atarudi. Mbatia yuko smart sana.Kimei kashinda na kuwa mbunge
Nyie upinzani mna matatizo ya akili, ameshinda wa cuf lkn bado mnataka kupinga
mtwara vijijini mmoja
Kwahy huyo n ccm au upinzani.?Hahahaaaa... Akili sako nzuri sana. Hata picha haiwezi kuelewa:
View attachment 1615623
Kwahy huyo n ccm au upinzani.?