Mbunge wa Upinzani Sigrada Mligo apiga kura ya hapana Bajeti kuu ya Serikali 2026/2027

Mbunge wa Upinzani Sigrada Mligo apiga kura ya hapana Bajeti kuu ya Serikali 2026/2027

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya hapana ni 8 ambao hawajapiga kura 0, Bajeti ya serikali imepitishwa kwa asilimia 97.96

Soma pia Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa asilimia 97.96

 
Kuonekana tuna upinzani jifanye hukubaliani na hii bajeti, mpo wachache na sisi tupo wengi. Bajeti itapita, alafu mtaonekana mlikataa.
Kwa hiyo ACT-zambarau na CHAUMMAMA -ubwabwa wanatucheza shere aka disco vumbi?
 
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya hapana ni 8 ambao hawajapiga kura 0, Bajeti ya serikali imepitishwa kwa asilimia 97.96

Soma pia Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa asilimia 97.96

Una maslahi binafsi na huyo Sigrada nini? Mbona unasema wabunge 8 hawajapiga ila umemtaja yeye tu? Hata hivyo hatuna shobo na hilo bunge la damu.
 
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo waliopiga kura ya hapana ni 8 ambao
Mkuu Richa, Richer , asante kwa bandiko hili, huyu Mhe Sigrada Mligo na hao wabunge 8 waliopiga kura ya hapana wabunge mashujaa wa Bunge hili la vyama vingi, ningetamani kujua majina yao.

P
 
Back
Top Bottom