Kweli?Hebu tusanue tujue kipi ni kipi mkuu!Maigizo
Kuonekana tuna upinzani jifanye hukubaliani na hii bajeti, mpo wachache na sisi tupo wengi. Bajeti itapita, alafu mtaonekana mlikataa.Kweli?Hebu tusanue tujue kipi ni kipi mkuu!
Kwa hiyo ACT-zambarau na CHAUMMAMA -ubwabwa wanatucheza shere aka disco vumbi?Kuonekana tuna upinzani jifanye hukubaliani na hii bajeti, mpo wachache na sisi tupo wengi. Bajeti itapita, alafu mtaonekana mlikataa.
Una maslahi binafsi na huyo Sigrada nini? Mbona unasema wabunge 8 hawajapiga ila umemtaja yeye tu? Hata hivyo hatuna shobo na hilo bunge la damu.Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya hapana ni 8 ambao hawajapiga kura 0, Bajeti ya serikali imepitishwa kwa asilimia 97.96
Soma pia Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa asilimia 97.96
Unaliza tena, hiyo i wazi, wanacheza michezo ya kutuhadaaKwa hiyo ACT-zambarau na CHAUMMAMA -ubwabwa wanatucheza shere aka disco vumbi?
Mkuu Richa, Richer , asante kwa bandiko hili, huyu Mhe Sigrada Mligo na hao wabunge 8 waliopiga kura ya hapana wabunge mashujaa wa Bunge hili la vyama vingi, ningetamani kujua majina yao.Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo waliopiga kura ya hapana ni 8 ambao