Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Aibu tupuInasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu tupuInasikitisha sana
Kwenye hayo matatizo usimtoe yeye nawenzie ndo waliosababishaKiufupi anaupiga mwingi sana.
Ujinga ni kudhani Mama anaweza maliza matatizo yenu yaliyowashinda Kwa miaka zaidi ya 60 ndani ya miaka 4.
Kwa hiyo mkandarasi asiipokuja na maji kukosekana alaumiwe mama Samia?
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani Mkoani Shinyanga amemuangukia Waziri wa Maji Jumaa Aweso akimuomba maji kwani Amesema Wilaya Majimbo yaote ya Mkoa wa Shinyanga yamefikiwa na Mji ya kutoka Ziwa Victoria isipokuwa Jimbo lake.
Akiongea Kwa unyenyekevu, uchungu na masikitiko bwana Cherehani amesema kati ya Kata 15 za Jimbo lake Kata 11 hazina maji hivyo kuwa Changamoto kubwa Kwa Wananchi wake.
Akijibu Maombi hayo Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema tayari Rais Samia amesikia Kilio Cha Wana Ushetu na Serikali Imetoa maelekezo ya kutangazwa tenda haraka ambapo ndani siku 30 mkandarasi atakuwa site kuanza usambazaji wa Maji Kwa Wananchi maji ya uhakika kutoka Ziwa Victoria.
My Take: Kuelekea Uchaguzi tutaona Mengi, wale wote waliopitishwa na Jiwe kama hawakuwa na sifa ndio imekula kwao.
NdioKwa hiyo mkandarasi asiipokuja na maji kukosekana alaumiwe mama Samia?
Kwenye hayo matatizo usimtoe yeye nawenzie ndo waliosababisha
Samia atayamaliza kabla ya 2030Haya mambo ya maji yalipaswa kuwa mwisho miaka ya 95 huko karne ya 21 tunajadili kuzindua mradi wa maji??? Maana yake hadi 2040 tutakuwa bado hatujamaliz haya matatizo,,,
Huyuhuyu au tumsubilie mwingine?? Yaani makamba amevuruga pale tones tanesco badala alale nae mbele anamchekea tu!!!tuwe wakweli hakuna mahali ccm itatupeleka labda huyo mama tumvue gamba qhamie nccr mageuziSamia atayamaliza kabla ya 2030
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani Mkoani Shinyanga amemuangukia Waziri wa Maji Jumaa Aweso akimuomba maji kwani Amesema Wilaya Majimbo yaote ya Mkoa wa Shinyanga yamefikiwa na Mji ya kutoka Ziwa Victoria isipokuwa Jimbo lake.
Akiongea Kwa unyenyekevu, uchungu na masikitiko bwana Cherehani amesema kati ya Kata 15 za Jimbo lake Kata 11 hazina maji hivyo kuwa Changamoto kubwa Kwa Wananchi wake.
Akijibu Maombi hayo Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema tayari Rais Samia amesikia Kilio Cha Wana Ushetu na Serikali Imetoa maelekezo ya kutangazwa tenda haraka ambapo ndani siku 30 mkandarasi atakuwa site kuanza usambazaji wa Maji Kwa Wananchi maji ya uhakika kutoka Ziwa Victoria.
My Take: Kuelekea Uchaguzi tutaona Mengi, wale wote waliopitishwa na Jiwe kama hawakuwa na sifa ndio imekula kwao.
View: https://www.instagram.com/p/C16S-qIrvkt/?igsh=MXJzdXVjOGE5ZGEwbQ==
Kutoka kwenye kodi ya walipakodi yake kweli ipo haja ya kupima akili za wabungeSiasa ngumu sana! Yaani Mwanaume kabisa, tena Mbunge anapiga Magoti ili kuomba kitu!