unajuaje kama nitakufa, je nikinyakuliwa kwenye ule unyakuo? Tusipende kulaani wengine, huwa nashangaa ndugu zako katika imani hawaachi kusema crush israel, down amerika katika yale maandamano yao yenye munkari huku wakichoma bendera za israel na marekani.