LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
unajuaje kama nitakufa, je nikinyakuliwa kwenye ule unyakuo? Tusipende kulaani wengine, huwa nashangaa ndugu zako katika imani hawaachi kusema crush israel, down amerika katika yale maandamano yao yenye munkari huku wakichoma bendera za israel na marekani.Ndio maana nime kuambia kuwa huna sifa za kuwa mwalimu ,kwahiyo na ww una amini kuwa amekufa kwa sababu ya kuikosoa Israel? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hiyo ww utaishi milele kisa unaihusudi Israel ?