Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
 
Hiyo itakuwa faida kwa mtu mwingine, kwani nafasi yake bungeni inaenda kujazwa na wa chama hicho hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa hapo, hakuna UCHAGUZI!
Wawachukue hata wote hao wa viti maalumu.
Ninachoshangazwa, ni huyo POLEPOLE. Hana kazi nyingine ya kukieneza Chama, ni kushughurika na manunuzi tu?
 
Hakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
Mtu kuhama chama siyo dhambi ni haki yake ya kidemokrasia. Sasa hili povu lote linalokutoka sijui ni la nini? Na kwa taarifa yako hapa watanzania ndo wameamka ndo maana wanawakimbia kila siku. Wamechoka na ulaghai na ubabaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa viti maalum akihama si anapoteza zaidi au ndo ukuu wa wilata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom