pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
CDM watangaze A/C yao na kuomba mchango kwa ajili ya kuendesha chama, ndani ya siku 3 watakuwa na fedha za kuendesha chama mwaka mzima. WAKEREKETWA TUPO.Ruzuku itazidi kupungua pia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM watangaze A/C yao na kuomba mchango kwa ajili ya kuendesha chama, ndani ya siku 3 watakuwa na fedha za kuendesha chama mwaka mzima. WAKEREKETWA TUPO.Ruzuku itazidi kupungua pia..
Watatudisi kwa udisii.
Zilipendwa.Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
UpdatesHii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!