Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Vipi kama ingekuwa ni habari ya Kiwanda kipya kinazinduliwa ,

Kuna mahali mmekwama sana ,mjitathimini upya.
 
Mtu kuhama chama siyo dhambi ni haki yake ya kidemokrasia. Sasa hili povu lote linalokutoka sijui ni la nini? Na kwa taarifa yako hapa watanzania ndo wameamka ndo maana wanawakimbia kila siku. Wamechoka na ulaghai na ubabaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Why concluding kwamba ni wananchi wamechoka? Na siyo madiwani na wabunge kanjanja?
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Wanawake wa lumumba mnawashwawashwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viti maalumu si atateuliwa mwingine kupitia alikotoka, au hesabu itapigwa tena upya
 
Acha kujidanganya ndugu. Jibu ni rahisi sana, ukiacha itikadi na mambo mengine siasa ni ajira pia. Wapo wabunge wengi wa Viti Maalum wanaotaka kuhama upinzani lakini wanashindwa kutokana na kuangalia mustakabali wa maisha yao baada ya kuacha ubunge. Tofauti na wabunge wa majimbo ambao wao wanauhakika wa kutetea majimbo yao na kurudi bungeni.

Fukuto la migogoro linaloendelea upinzani (ruzuku na Uongozi) limewafanya wabunge wengi kutaka kutoka/kuhama na hivyo kufanya kazi ya CCM kuwa rahisi sana, nayo ni kuwahakikishia nafasi zao za ubunge tu. Ndo maana unaona wabunge wengi wa majimbo ndiyo wanaohama kuliko viti maalum.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo la ruzuku za chdema sioni kama ni tatizo kwao bali kwa CCM.
 
Ni muda mwafaka kwa Mods kumpa Ban mleta Uzi. Moja, tweet ya H.Polepole haitoi Picha yoyote ya mtu kupokelewa, Ni mkutano wa katibu wa uwt! Pili, alipaswa kuiweka habari hii Kama tetesi, Jambo ambalo hakufanya. Napendekeza BAN!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Polepole ambapo Katibu mkuu wa UWT atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale Lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!

ulisema ni saa tano usiku ehh???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom