Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikariri vya mwita waitara ambaye ni kilaza njaa, kama ni vya kukariri bora ukariri vya akina polepole wakakugawie pesa za kuwanunua wapinzani wenye njaa. Kwa sasa Mwita waitara anavuta Bangi nyingi ndiyo maana kutwa anabwabwaja hovyo kuhusu chadema.Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
chadema sawa but jimbo gani la uchaguzi? Hao wasio na jimbo ndio mnaojangaika nao baada ya wale wa kuchaguliwa kuwashtukia! Viwanda vimeshinda, miradi mingine mmeshindwa, kuajiri mmeshindwa na sasa mnakimbilia kununua vyeo vya wabunge! Hivi wakiisha wote mna mpango wa kununua nini tena? Mbona hamumshauri huyo chakubanga wenu kwa mambo ya kitoto mnayoyafanya as if yanachangia uchumi wetu?Anawakilisha chama cha Chadema!
Lazima iwe hivyo ili mume wake aendelee na ukuu wa mkoa, nipe nikupe.Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Inamaana yeye hajui nani anamiliki CCM kweli? Kama hajui akaulize Wabunge wa Mtwara na Lindi na Mashangazi zao. Ila pia na yeye itapendeza akienda kununua hisa huko CCM ili awe na umiliki.Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara
Sasa ni saa 6:21 bado?Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Afadhali umetumia neno 'nadhani', kwa maana hukuwa na uhakika na ukweli wa maelezo yakoUsisahau kuwa kura na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa Chadema imepungua pia, nadhani wenye fursa ya kuongeza mbunge wa viti maalumu watakuwa CCM!