Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
ila roho yauma poleni wapenda vyama vyenu hiyo Kazi kama Kazi yako ukiona hapo hapana masilahi unatafuta masilahi zaid kwingine usihuzunike watapatina wengine wazuri endelea kupenda chama chako sasa ni furaha hiyo na wewe jitose huko nafasi zinapatikana wewe unanuna badala uchangamkie

Sent using Jamii Forums mobile app
uzuri chadema watachagua mwingine wa kureplace hiyo nafasi,
 
Bado raia wana imani na Mbowe, Mbowe&co anatumia wingi wa wajinga wa Ufipa kupiga hela za ruzuku...

Hapa wenye akili wamesha washtukizia wanaanza kukikimbia chama
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
 
Atakuwa anamfuata Kafulila kule Mbeya. Uzuri ni kuwa Kafulila na Jessica hawako kabisa CCM na hawatakaa wawe wana CCM. Subirini hiyo ajira mliyompa iishe ndipo mtamjua mwana CCM wa kweli ni yupi.
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Anawakilisha jimbo gani kwa maana alichaguliwa na watu wa jimbo gani? Kama hana jimbo analowakilisha basi anajiwakilisha mwenyewe na ndio maana anaondoka mwenyewe! Ataiimuza familia yake na sio wananchi!
 
Huyo Polepole amesomea Ugavi na manunuzi?
Mbona kila siku anafanya inventory ya watu??
 
Anawakilisha jimbo gani kwa maana alichaguliwa na watu wa jimbo gani? Kama hana jimbo analowakilisha basi anajiwakilisha mwenyewe na ndio maana anaondoka mwenyewe! Ataiimuza familia yake na sio wananchi!
Anawakilisha chama cha Chadema!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom