dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani aliyoaandika siyo ya kweli..tuambie ukweli unaoujua basi..usiharishe hapa mambo usiyoyajua..Huna hata akili kidogo ya kukutosha kusukutua huo mdomo na akili kabla ya kuandika huu upupu
Pesa inayotumika kuwanunua wabunge na kurudia chaguzi ni pesa ambazo zingetumika kujenga Nyumba za watumishi wa umma Dodoma ambao wanataabika kwa kukosa makazi ya uhakika ya kuishi.Wameamua kusawazisha kuwa na wa viti maalum pia wanaunga mkono baada ya watu kuhoji mbona wabunge wa kuchaguliwa tu ndio wanaunga mkono juhudi.
Sitashangaa sasa nikisikia na wa Zenji akiunga mkono juhudi.
Wazenji hawawezi kufanya ujinga huu unaoendelea Bara .............!!Wameamua kusawazisha kuwa na wa viti maalum pia wanaunga mkono baada ya watu kuhoji mbona wabunge wa kuchaguliwa tu ndio wanaunga mkono juhudi.
Sitashangaa sasa nikisikia na wa Zenji akiunga mkono juhudi.
Ifike mahali tukubali tu siasa ni ajira. The highest bidder wins the auction!
Kwenye ununuzi si unajua kuna 10% faida wanavuna pesa kibwerere pia, wakimnunua mtu huwapa kitu kidogo na upande wao huongeza Dau ni biashara nzuri wanavuna pesa kiulaini ni mladi wa wajanja Fulani.Uzuri wa hapo, hakuna UCHAGUZI!
Wawachukue hata wote hao wa viti maalumu.
Ninachoshangazwa, ni huyo POLEPOLE. Hana kazi nyingine ya kukieneza Chama, ni kushughurika na manunuzi tu?
ifike mahali wabunge wa Upinzani wawe wanalishwa Yamini ili wakihama kihuni huni kama waitara laana ya wapiga kura inawadaka na kuwa mazezeta.Wazenji hawawezi kufanya ujinga huu unaoendelea Bara .............!!
Ikitokea Mzenji akaunga juhudi basi nitasema Shikamoo JPM...!!
Pesa ya luzuku ya CCM ndiyo inapigwa sana wewe mjanja wa huko CCM mbona huoni? au umekalia umbea wa kukariri kwa upinzani? Anza huko kwenu kwanza ndipo uendeleze propaganda kwa chadema, Pesa inayotumika kuwanunua wapinzani ingekuwa inatumika kuleta maendeleo leo hii Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa.Bado raia wana imani na Mbowe, Mbowe&co anatumia wingi wa wajinga wa Ufipa kupiga hela za ruzuku...
Hapa wenye akili wamesha washtukizia wanaanza kukikimbia chama
Katibu tawala, ukurugenzi, ubalozi kama mtatiro anavyoandaliwa sasa, vipo vyeo vingi vya kuwazadia wabunge njaa.Sasa viti maalum akihama si anapoteza zaidi au ndo ukuu wa wilata
Jesca KishoaHii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Wabunge ndio wasimamizi wa maendeleo!Hizo Habari tushazoea kwa sasa clouds tv walete issue za maendeleo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app