Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Mtu kuhama chama siyo dhambi ni haki yake ya kidemokrasia. Sasa hili povu lote linalokutoka sijui ni la nini? Na kwa taarifa yako hapa watanzania ndo wameamka ndo maana wanawakimbia kila siku. Wamechoka na ulaghai na ubabaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati kukiwa chama kimoja walikua wamelala au wameamka, au watanzania wanapenda kusinzia...wanahamahama kama wasukuma na wamasai...hayo ni matusi kwa wazazi wako....babaaakoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache waambiane wema wa mungu maishani mwako .... By goodlucky gozberty

a e i o u
 
Wameamua kusawazisha kuwa na wa viti maalum pia wanaunga mkono baada ya watu kuhoji mbona wabunge wa kuchaguliwa tu ndio wanaunga mkono juhudi.
Sitashangaa sasa nikisikia na wa Zenji akiunga mkono juhudi.
Acha kujidanganya ndugu. Jibu ni rahisi sana, ukiacha itikadi na mambo mengine siasa ni ajira pia. Wapo wabunge wengi wa Viti Maalum wanaotaka kuhama upinzani lakini wanashindwa kutokana na kuangalia mustakabali wa maisha yao baada ya kuacha ubunge. Tofauti na wabunge wa majimbo ambao wao wanauhakika wa kutetea majimbo yao na kurudi bungeni.

Fukuto la migogoro linaloendelea upinzani (ruzuku na Uongozi) limewafanya wabunge wengi kutaka kutoka/kuhama na hivyo kufanya kazi ya CCM kuwa rahisi sana, nayo ni kuwahakikishia nafasi zao za ubunge tu. Ndo maana unaona wabunge wengi wa majimbo ndiyo wanaohama kuliko viti maalum.

Kwa hiyo ni biashara unakiri wanafanya!
 
Hakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
Unamaanisha nini mkuu!? Unataka kuuwa demokrasia? Au hufahamu demokrasia ni kitu gani na huwa mnaimba kila siku bila kuelewa mnaimba nini boss wangu? Hamahama hii ndiyo demokrasia yenyewe. Vinginevyo unataka kuiuwa. Au kuhama ahame Mzee Sumaye kuja CDM au Nyarandu wengine wakihama ni tatizo? Acheni watu wa practice democracy na msiwe wepesi wa kulaumu. Vyama vyetu hivi vya upinzani havina demokrasia huko ndani na havifai. Huku kwengine watu wana uhuru wa kufanya na kusema chochote. Ndiyo maana unawaona vijana kama Nape na wenzie wako huru kuzungumza. Ukijaribu huko kwenyu kumsema mwenyekiti tuu kesho watakukuta mtaroni roho imeacha mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasikitikia wanao ona haya mambo ni madogo,,so sad asee,unapoteza wabunge karib watano kabla uchaguz haujafika halaf unaona kawaida,,daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa Kafulila,2020 ikute kaahidiwa jimbo la Mwigulu.Ila bora ahame ili akawe na mumewe karibu.
 
ila roho yauma poleni wapenda vyama vyenu hiyo Kazi kama Kazi yako ukiona hapo hapana masilahi unatafuta masilahi zaid kwingine usihuzunike watapatina wengine wazuri endelea kupenda chama chako sasa ni furaha hiyo na wewe jitose huko nafasi zinapatikana wewe unanuna badala uchangamkie

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wanateseka wenzao wanachangamkia fursa wao mapovu yanawatoka kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C109E0B7-994B-42F0-8DA2-C0390D078865.gif
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom