Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Mtu kuhama chama siyo dhambi ni haki yake ya kidemokrasia. Sasa hili povu lote linalokutoka sijui ni la nini? Na kwa taarifa yako hapa watanzania ndo wameamka ndo maana wanawakimbia kila siku. Wamechoka na ulaghai na ubabaishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna hata akili kidogo ya kukutosha kusukutua huo mdomo na akili kabla ya kuandika huu upupu
 
Hakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
hehheheehehe aliyelala usingizi wa pono.ni wewe peke yako..nakwambia watanzania wapo macho na kila kinachoendelea..usiwasemee watu kamanda utaumbuka..nyie kaeni na mafisadi yenu..wananchi wameshawashtukia ..si umeona hata ripoti ya CAG imesema.ufisadi uliofanyika chama chenu..mnapiga hela kwa.kwenda mbele..kamanda mko safi..
 
hehheheehehe aliyelala usingizi wa pono.ni wewe peke yako..nakwambia watanzania wapo macho na kila kinachoendelea..usiwasemee watu kamanda utaumbuka..nyie kaeni na mafisadi yenu
Hakika mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom