Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara!
Usikariri vya mwita waitara ambaye ni kilaza njaa, kama ni vya kukariri bora ukariri vya akina polepole wakakugawie pesa za kuwanunua wapinzani wenye njaa. Kwa sasa Mwita waitara anavuta Bangi nyingi ndiyo maana kutwa anabwabwaja hovyo kuhusu chadema.
 
Anawakilisha chama cha Chadema!
chadema sawa but jimbo gani la uchaguzi? Hao wasio na jimbo ndio mnaojangaika nao baada ya wale wa kuchaguliwa kuwashtukia! Viwanda vimeshinda, miradi mingine mmeshindwa, kuajiri mmeshindwa na sasa mnakimbilia kununua vyeo vya wabunge! Hivi wakiisha wote mna mpango wa kununua nini tena? Mbona hamumshauri huyo chakubanga wenu kwa mambo ya kitoto mnayoyafanya as if yanachangia uchumi wetu?
 
Hakuna jipya, nawapongeza wanaohama vyama kukimbilia ccm kwani wameiona fursa wanacheza nayo! Huu ni msimu wa mavuno, tuwaache wavune mapesa, kodi za walalahoi! awamu hii ikipita siasa za kawaida zinazozingatia itikadi zitashamiri na kustawi. Siasa za kishamba, ukandamizaji na mauaji sio endelevu.
 
Ufedhuli wa ccm unaendelea!
Je haki zake za ubunge vipi anaziacha?
Mikopo aliyo nayo nani atalipa?
Kiinua mgongo chake 2019 nacho kakiacha?
Bei 'aliyonunuliwa' inajibu maswali yote hapo juu.
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Lazima iwe hivyo ili mume wake aendelee na ukuu wa mkoa, nipe nikupe.
 
Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima Mdee by Mwita Waitara
Inamaana yeye hajui nani anamiliki CCM kweli? Kama hajui akaulize Wabunge wa Mtwara na Lindi na Mashangazi zao. Ila pia na yeye itapendeza akienda kununua hisa huko CCM ili awe na umiliki.
 
Huyo, kaingia choo cha kike, chadema watapeleka jina lingine
 
Ninahakika anaejua siri na faida ya wabunge kuhama ni mtu 1 tu, hawa wengine wanaoshabikia kama polepole ni wafuasi tu ( they know nothing) wakati ukifika watasema "Tungejua". Unaweza kubeba kuni kutoka shamba kwa nia njema tu kumbe umembeba njoka katika kuni ukifika nyumbani anakugonga. Unawezafikiri kuwa huna kosa kwa kuwa ulibeba kuni kumbe kosa lako ni kutokuwa makini kabla ya kubeba. Is a matter of time 2025 sio mbali.
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Pole pole ambapo Katibu mkuu wa uwt atakuwa na mkutano na waandishi wa habari pale lumumba. Nyepesi nyepesi zinadai mbunge huyo anatokea mkoa wa Singida. Habari hii imeripotiwa pia na kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds tv!
Sasa ni saa 6:21 bado?
 
wahamie tu ila wanajiingiza kwenye kinywa cha mamba
wakishaingia mamba anafunga kinywa..
hapo atawatawala apendavyo
na hakutokua na pumzi hata ya kusema tuandamane..
MAANA WATAITWA WASALITI WAZOEFU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom