johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kabisaHakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
huyu atapewa wilaya au nafasi ya DEDAtapewa kiti maalum CCM?
ila roho yauma poleni wapenda vyama vyenu hiyo Kazi kama Kazi yako ukiona hapo hapana masilahi unatafuta masilahi zaid kwingine usihuzunike watapatina wengine wazuri endelea kupenda chama chako sasa ni furaha hiyo na wewe jitose huko nafasi zinapatikana wewe unanuna badala uchangamkietushazoea...
Uzuri wa hapo, hakuna UCHAGUZI!Hiyo itakuwa faida kwa mtu mwingine, kwani nafasi yake bungeni inaenda kujazwa na wa chama hicho hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuwa kura na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa Chadema imepungua pia, nadhani wenye fursa ya kuongeza mbunge wa viti maalumu watakuwa CCM!Hiyo itakuwa faida kwa mtu mwingine, kwani nafasi yake bungeni inaenda kujazwa na wa chama hicho hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kuhama chama siyo dhambi ni haki yake ya kidemokrasia. Sasa hili povu lote linalokutoka sijui ni la nini? Na kwa taarifa yako hapa watanzania ndo wameamka ndo maana wanawakimbia kila siku. Wamechoka na ulaghai na ubabaishaji.Hakuna jipya, huyo sio wa kwanza na hiyo sio habari ya kushtua tena, fanyeni nnavyotaka maana watanzania wamelala usingizi wa pono, siku wakishtuka mtatamani ardhi ipasuke muingie ni suala la muda tu.
Hahahahahah....ukimchukua wa viti maalumu anachaguliwa mwingine. Ndio maana hawana bei kwenye soko pendwa la ununuzi wa binadamuAtapewa kiti maalum CCM?
Sina uhakika na hilo, ila nijuavyo wabunge wa viti maalum wanapatikana kwa uwiano wa uwingi wa kura za waliogombea uraisUsisahau kuwa kura na idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa Chadema imepungua pia, nadhani wenye fursa ya kuongeza mbunge wa viti maalumu watakuwa CCM!