Tetesi: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA kuhamia CCM leo saa 5.30 pale Lumumba!

Status
Not open for further replies.
Zilipendwa.
 
Mbona updates hakuna, na sasa ni saa 11:30+ jioni. Au jamaa (mmama) kaingia mitini kama wale "w.a.p.u.m.b.a.v.u kabisa" wa A town, nyakati zileeee!
 
Mods tafadhalini,kuweni wakali na hawa watu wanaoleta habari zisizo na uhakika. Hili jukwaa limekuwa kama jalala sasa. Mtu anaokota tweet ya mtu au post ya mtu na kuileta hapa kama habari. Wengine kutwa kuleta habari za magazetini,tena magazeti ambayo hata kufungia vitumbua huwezi kwani yana sumu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…