nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Huyu alipigwa na rungu la kisukuma akalewaHahahahahaaaa!
Hivi haiwezekani kuhama Chama kimya kimya?
Manake sababu nyingine hata Mwanangu wa Darasa la 4 hawezi kuzisema mbele za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alipigwa na rungu la kisukuma akalewaHahahahahaaaa!
Hivi haiwezekani kuhama Chama kimya kimya?
Manake sababu nyingine hata Mwanangu wa Darasa la 4 hawezi kuzisema mbele za watu.
Hujaelewa we ufipa Fc. Wakati huo Magufuli hakuwa rais ndo maana walienda wote. Angekuwa rais isingwezekana waondoke kienyeji hivyo.Sishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.
La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
Kufunga na kufuturu siyo wakati wa Ramadhani tu! Watu wanafunga na kufuturu siku tofauti ndani ya mwaka.Sishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.
La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
Kufunga na kufuturu siyo wakati wa Ramadhani tu! Watu wanafunga na kufuturu siku tofauti ndani ya mwaka.
Kwanza hilo jina libadilishe unawadhalilisha waislamu wenye imani ya kweli sio nyinyi waiccmlamu wa BAKWATAHujaelewa we ufipa Fc. Wakati huo Magufuli hakuwa rais ndo maana walienda wote. Angekuwa rais isingwezekana waondoke kienyeji hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufutari na kufuturuSishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.
La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
tindo njoo uone siri ya teuzi. Sasa mimi ningetaka ningeshindwa vipi kwa mfano. Tena nilivyo intelligent......
baba watoto kwa hiyo alilala naye?
Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu.
Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia twende”
Ameongeza kuwa Rais alimchukua hadi nyumbani kwake akafuturu naye huku akiongea naye kama ndugu yake kabisa hivyo kukaa upande wa pili anadhalilika sana ila haikuwa kusudi yake kwani ni maovu aliyotendewa, alishinda na kukatwa bila sababu ya msingi.
Amesema “Leo natangaza rasmi kama utaridhia (Spika Ndugai) mimi leo narudi nyumbani kumenoga. Nimelelewa na CCM ila kwa yaliyojitokeza naomba mnisamehe, kama niliwakwaza na wale walionifanyia maovu hadi nimefikia hapa naomba Mwenyezi Mungu niwasamehe”
Aidha, Spika Ndugai asema kuwa maisha ni mapito ndio maana kuna rafiki zake kama akina Ahonga huwa anawaambia wawe na kiasi kwani siasa ni shule kubwa na katika Vyuo Vikuu ni Bunge. Watu wataenda kulia, kushoto na kati.
Unauliza Ndonya kwa mmakonde?baba watoto kwa hiyo alilala naye?
Hao washakuwa wabunge tiyari. Tusubiri wawe mawaziriAngeanza na Hawa covid-19 kwenye teuzi baada ya mission impossible