Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

Mbunge wa Viti Maalum (CUF), Riziki Lulida aomba kurejea CCM. Asema Rais Magufuli ni msikivu alifuturu naye na kuongea naye kama ndugu

Sishangai kurudi CCM ikiwa alikuchukuwa kufuturu. Kama ulifunga ulitakiwa ufutAri, lakini wewe ilifutUru na yeye.

La pili uwache uwongo wewe, mwaka 2015 ramadhani ilikuwa August kabla ya uchaguzi mkuu.
Hujaelewa we ufipa Fc. Wakati huo Magufuli hakuwa rais ndo maana walienda wote. Angekuwa rais isingwezekana waondoke kienyeji hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga na kufuturu siyo wakati wa Ramadhani tu! Watu wanafunga na kufuturu siku tofauti ndani ya mwaka.
 
Hujaelewa we ufipa Fc. Wakati huo Magufuli hakuwa rais ndo maana walienda wote. Angekuwa rais isingwezekana waondoke kienyeji hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hilo jina libadilishe unawadhalilisha waislamu wenye imani ya kweli sio nyinyi waiccmlamu wa BAKWATA

Pili kuna hoja ya KUFUTURU hujaijibu badala ya KUFUTARI. Sote tunajuwa huyo mtajwa kama ilikuwa kabla hajakalia kiti cha ufalme DOM alikuwa mama watoto amamuwacha Dar. Kwa hiyo wewe umebariki mwanamke wa kiislamu wawe faragha na mwanaume katikati ya mfungo.

Tatu, aliposema mimi ndio baba alikuwa ana maana gani? Si mimi ndio kiongozi wenu? Ikiwa na maana keshakuwa mfalme wakati huo. Kama ni kabla ya ufalme hiyo baba alimaanisha nini, baba wa kupanga wa watoto wake huyo bibi wa Kipemba? Si unajuwa tena mahaba yake kwa vitu vyeupe?

Dada kaamuwa kuyaweka wazi mwenyewe wacha kumpunguzia umaarufu wake!
 
Hatimaye leo kurejea kwake kumelipa. Kaula Ubunge kiulani, na si ajabu akaula na Waziri/Unaibu
 
Yametimia leo; katika zile 10 kala moja na Polepole moja. Zimebaki 8 kwenye ndoano.
 
tindo njoo uone siri ya teuzi. Sasa mimi ningetaka ningeshindwa vipi kwa mfano. Tena nilivyo intelligent......
 
tindo njoo uone siri ya teuzi. Sasa mimi ningetaka ningeshindwa vipi kwa mfano. Tena nilivyo intelligent......

Sasa hapo hiyo nafasi si kaipata kwa kujipendekeza, na Sia ajabu na mashine katoa? Hapo hakuna cha kuwa intelligent zaidi ya kushusha kifuniko cha mtambo wa uzazi, watu wamwage maji ya ukweli.
 
Amesema amerudi CCM kwasababu nyingi na ya kwanza ni kuwa Rais Magufuli ni msikivu na atakaposikiliza hoja yake atakuwa msikivu.

Amesema “Mwaka 2015, Rais alinikuta nje akaniuliza nafanya nini. Nilijibu nataka kwenda nyumbani kufuturu. Akaniambia mimi ndio baba watoto twende, nami nikamuambia twende”

Ameongeza kuwa Rais alimchukua hadi nyumbani kwake akafuturu naye huku akiongea naye kama ndugu yake kabisa hivyo kukaa upande wa pili anadhalilika sana ila haikuwa kusudi yake kwani ni maovu aliyotendewa, alishinda na kukatwa bila sababu ya msingi.

Amesema “Leo natangaza rasmi kama utaridhia (Spika Ndugai) mimi leo narudi nyumbani kumenoga. Nimelelewa na CCM ila kwa yaliyojitokeza naomba mnisamehe, kama niliwakwaza na wale walionifanyia maovu hadi nimefikia hapa naomba Mwenyezi Mungu niwasamehe”

Aidha, Spika Ndugai asema kuwa maisha ni mapito ndio maana kuna rafiki zake kama akina Ahonga huwa anawaambia wawe na kiasi kwani siasa ni shule kubwa na katika Vyuo Vikuu ni Bunge. Watu wataenda kulia, kushoto na kati.
baba watoto kwa hiyo alilala naye?
 
Back
Top Bottom