tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Shida hana uchoyo na antena haipoAcha aoe,maana wanawake wanaotaka kusitiriwa ni wengi,na baadhi yao wanakwepwa.
Huyo Nusrat mwenyewe,kuolewa kwake inasemekana ni pigo kwa madereva wa wabunge na mawaziri,maana kumpatapata itakua siyo kama kabla hajachukuliwa na Kitenge.
Mahari kapokea ni kidude tuliaNaipongeza CHADEMA kwa hilo. Nusrat ni pisi kali sana miongoni mwa pisi za kutokea Ufipa. Hapo utakuta kwenye mgawo wa mahari Mbowe kaondoka na kakitu.
Huyu nusrat si alikua analiwa na bashiru na salum mwalim?Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.
Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio walihudhuria tukio hilo.
Nasikia form four alitaga/alizungushaMwamba Marioo flani hivi wakiutu uzima, anajua sana kujidondeshea kwenye 18
Kwahiyo picha hamuna au!?Ila huyo Nusrat naye ana watoto wawili kama sio watatu. Ni pisi kali ila imeshatumika
SafiMwamba ninacho mkubali haoi wenye njaa,anajiwekaga kwa wanawake wenye hela,maswala mizinga ya kodi,sijui njaa hajala,sijui bundle nk hataki kuyasikia yaani kwa kifupi hadate na wanawake wenye njaa.
Hana wake watatu. Aliwahi kuoa wawili kabla.Mbona kuna habari mara kitenge ni ......habari fulan hivi naonaga uzushi na chuki tu juu yake? sasa wewe mke mmoja mwenzako wake watatu, nani shabab?