Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

kitenge ana wake wa 4 kitambo sana. since yupo itv. Huyu kama sio wa 6 au 7. hivi. kuna alot of rumours about afya ya kitenge pia.. I think hii inaweza ikawa ndo push maker ya ndoa. since huyu mama alikuwa dodoma kuna raia wameishi nae sana. since she is very out going. sema i shouldn't say much. ndoa ni ndoa. we close the chapter.
Yes, mke wake wa kwanza alimuoa kitambo ila wakachana, ni yule dada/mama mtangazaji wa tbc, kabla hawajaachana na huyu dada aliongeza mke wa pili around 2005 naona pia akaachana nae.

wanasema afya yake haiko sawa? ana moto? au wanamzushia kwasababu anafanya sana mazoezi.
 
Back
Top Bottom