Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mtangazaji wa WASAFI FM na Kada wa CCM Maulid Kitenge amedaiwa kufunga ndoa na mbunge wa viti Maalum ( Chadema) mh Nusrat Henje

Hongereni maharusi

Siasa siyo Uadui

Source Jambo TV

Nawatakia Dominica njema😂
Siasa sio uadui kwa watu wenye Akili nzuri !
Lakini kwa wale mburula vilaza wenye kushikiliwa Akili zao na Yule anayewapa pesa ya siku ya kula hawawezi kukuelewa !!
Na kwa bahati mbaya hao ndio wapo kila penye ofisi ya Chama wakicheza draft na karata mchana kutwa wakisubiri dili la kwenda kudhuru au kumtukana mbaya wao. !
Hatar sana. 😅😅🙏🙏
 
Back
Top Bottom