Kwa tunaomfahamu Mkono tunapatwa na maswali zaidi kuliko majibu.
Kwa mtu msomi na Wakili nguli kama Nimrod Mkono inawezekana vipi asiwe na
willing ya Mali zake kwa advocate wake? Kumbuka hata Lisu ni Wakili nguli lakini ana Wakili wake.
Kuna sintofahamu nyingi sana ya maisha ya mwisho ya Mzee Mkono, otherwise mniambie basi kuna uchawi wa Gambia wameutumia mama na bintiye kumgeuza msukule Mzee Mkono.
Lakini swali linabaki, je inawezekana vipi kwa wakili nguli kama Nimrod Mkono hana
willing ya Mali zake?
Brother
Pascal Mayalla hebu tusaidie hapa views zako, Mimi Niko confused.