TANZIA Mbunge wa zamani, Nimrod Mkono amefariki dunia nchini Marekani

Mbunge mpya ana miaka mitatu ndio abebeshwe mzigo wa lawama wa matatizo yaliyopo tangu Uhuru? Simjui mkono sina haja ya kuuliza sababu maneno niliyosikia na nitakayosikia yatabaki kuwa MANENO tu..Sina ajira na sifanyi kazi halmashauri mpya..Wakuja? Wewe hapo unapoishi ni kwenu?
 
Pesa na
Pesa na Mali vyote ni vyako ewe Mungu. Wale mnadhani Mali au fedha itakuepusha na adhabu ya Kaburi. Endeleeni kupiga endeleeni kujilimbikizia Mali na kuwaacha watu mafukara. Kama viongozi wangelijua hili wangewekeza kwa wananchi na ndipo Mungu angewabariki sana. Amen. RIP Nimrod Mkono
 
Nilisikia[emoji23]




Jinga wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni Gentamycne
 
Dr hapo nilipobold unamaanisha nini?
 
Kwa taarifa za ndani kutoka kwa Mmoja wa Nduguze ( naomba nimhifadhi Jina ) alinihakikishia kuwa Mama na Mwana walimwendea Mzee ( Marehemu ) kwa Mtaalam ( Mganga ) huko Sumbawanga ili kumharibu zaidi Akili na walifanikiwa kwa Dhamira yao na aliyewapeleka huko ni aliyekuwa Mbunge mmoja Mkoa wa Watu Wabishi ( sasa si Mbunge tena ila yuko Chama kingine kama Mmiliki ) ambaye huko nyuma ndiyo alikuwa Hawara / Mpenzi mkubwa wa Leah ( Binti mkubwa wa Marehemu ) na hata 90% ya Utajiri alionao sasa ulitokana kwa kuwa Mahusiano na Leah ambaye alikuwa akichukua kwa Baba ( sasa Marehemu ) na Kumpa na pia Kumuunganisha na Baba yake katika deals zake za Kisiasa na hata Kibiashara.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Ukipitia orodha ya wabunge, mbunge Mwenye herufi (EK) ambaye ni mkware and lust for money, linajitokeza jina la Elibariki Kingu
kweli jamaa ni mchafuzi
 
Duh hayo mahusiano ya ex mbunge huyo na L
Nliyajuaga kitambo,duh cmnt hii nnkionganisha dots naona kama kuna
Ka ukweli
Maana nna mwanangu mmja mtoto wa mjini wenyewe tulikuwa tunamuita
D.cheney aliruka naye sana hyu bi dada
Aise mwanangu pole sana na msiba

Ova
 
Siko hapa kujibu Upuuzi uliouliza na nimekuandikia kile ambacho kwa 100% nakijua kuhusu hiyo Familia na Marehemu Mwenyewe.

Halafu hakuna mahala nimekulazimisha Uamini nilichokiandika na kwa Taarifa yako hilo Gazeti nililoliandika hapo ni 45% ya yaliyomo na 55% nimeziacha Kwanza.

Mwisho Mimi siyo Gentamycine bali Mimi ni Minocycline sawa? Nina PhD ya kuijua Familia ya Marehemu na Maisha yao yote.

Nimemaliza.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Na ndiyo maana kwa Kujiamini kabisa nawaambia Hawa akina Dr Matola PhD na clinician wasioamini ninayoyaandika hapa kuwa MINOCYCLINE nina PhD ya Kuijua ndani nje Familia ya Marehemu, Maisha yao, yaliyojiri na ambayo nina uhakika baada ya Maziko yake yatajiri.

Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Great!

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Precisely.
 
Hakununuliwa Gari dogo na Kujengwa na Leah? Nijuavyo 85% ya Vijana ( Wanaume ) waliobahatika Kutambaa nae na Chaki Kitandani ( kama Kibu Denis na Jesus Moloko ) na Kumfikisha Kilele cha Milima ya Kwao Busegwe walinunuliwa Magari na ama kujengewa Nyumba au Kununuliwa Viwanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…