Mbunge wa zamani wa Ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na Spika Ndugai


..Prof siyo mtu wa kupokea maelekezo toka juu.

..I think he is a moderate na watu wa namna hiyo wanapata shida ndani ya chama.
 
😜😜😜 Mkuu utaoa hata kabla ya kuwa na mchumba? Unaondoka unaenda wapi tena Mkuu?

Ahsante sana Mkuu 🙏🏽 Nimeshakaribia.

..kumbe ndugu yetu umeoa.

..basi usiwe na haraka ya kurudi mazima JF.

..weka msingi imara ktk ndoa halafu ndiyo ujumuike na sisi.
 
Reactions: BAK

..usijidanganye kuwa kuna tiss wanaoweka nchi sawa au kurekebisha mambo yasiharibike.

..dhana ya tiss imelenga kuwahadaa waTz ili wajione hawana sauti ktk nchi yao, au wabetekwe wakidhani nchi iko ktk mikono salama ya kikundi fulani / tiss.
 
Alafu kuna watu wanataka tuwaunge mkono.. niunge mkono upuuzi my dead body.
 
Hamna cha tiss pale bali nao ni wana ccm ktk utambulisho tofauti.
 
..Prof.Safari akilielezea suala la Cecil Mwambe kisheria.

Kwa maamuzi ya hovyo na ya "double standards" anayoyafanya Spika Ndugai, amethibitisha tena kuwa yeye ndiye Spika anayeshikilia kuwa Spika wa hovyo tokea nchi hii ianze kupata maspika wazawa baada ya nchi yetu kupata Uhuru wake toka kwa mkoloni!
 
..usijidanganye kuwa kuna tiss wanaoweka nchi sawa au kurekebisha mambo yasiharibike.

..dhana ya tiss imelenga kuwahadaa waTz ili wajione hawana sauti ktk nchi yao, au wabetekwe wakidhani nchi iko ktk mikono salama ya kikundi fulani / tiss.
It is about time the myth was debunked; and this is a good start.

WaTanzania wanaaminishwa mambo mengi yasiyokuwa kweli, na hili limeota mzizi kabisa akilini mwao.

Kwamba wananchi hawawezi kuleta mabadiliko yoyote bila kuwepo utashi wa TISS!

Hili sio kweli.
 
Ingependeza zaidi kama wananchi bila kujali itikadi ya vyama, dini na maeneo wanakotoka kuungana pamoja dhidi ya wizi wa fedha unaoendekezwa na Spika Job Ndugai...
Kama tunazungumzia mishahara na mafao hewa basi hili sakata la Mwambe ni reference nzuri sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…