Mbunge wa zamani wa Ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na Spika Ndugai

Mbunge wa zamani wa Ndanda Cecil Mwambe amesema ameitwa jijini Dodoma na Spika Ndugai

Binadamu ameumbwa na njaa lakini hii ya Cecil Mwambe ni kiboko.

Unaitangazia dunia kwamba umejiuzulu ubunge na kuhamia CCM tena umepokelewa na mjumbe wa kamati kuu na Sekretarieti ya CCM.

Kisha Spika anakutega nawe unategeka kirahisi kabisa kama kamdada ka standard six na chips za bodaboda!

Hakika Ufipa wangekupa Uenyekiti ungeuza chama.

Maendeleo hayana vyama!
Na ndilo lilikuwa lengo la Ccm. Sasa wameona lime gonga mwamba wana jitokeza hadharani kuonyesha waliyo ya kusudia. Wana tuambia wana pambana na wafanya kazi hewa halafu bunge lina kuja na wabunge hewa. Boss yuko kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiachilia mbali Rais, kuna kiongozi mwingine anakinga ya kikatiba dhidi ya kushtakiwa kwa makosa aliyofanya alipokua madarakani?
 
Halafu tukiambiwa sisi waafrika ni wajinga tunatoa povu!
 
Taarifa niliyoipata hivi punde inasema jamaa amesharudi bungeni rasmi, na atakaa upande ule wa KUB Lwakatare eti anaemtambua.

Taifa hili sijui tumelaaniwa au ni kitu gani.

But kuwa na CCM itself, naamini ni dhambi tosha inayostahili ubatizo wa maji mengi sana kuiondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Job anafikiri anawakomoa Chadema kumbe anatukomoa wanachi. Hizo fedha wangepeleka kwenye sekta ya afya kununua gloves na panado tunazozikosa hospitalini. Dhuluma hizi ndio chanzo cha kupingwa kwa hii dunia. Huku tunamwomba Mungu aturehemu huko tunaendelea na dhambi.

Juzi kwenye maombi ya Corona wao wenyewe wamenukuu maneno ya Mungu kwamba "ikiwa wangu wangu........ wataziacha dhambi zao........ nitaiponya nchi yao". Sasa wanaendelea vilevile na madhambi yao.
 
Weita ongeza ya baridi nitoe stress.Halafu niitie mtu wa nyama choma.Raha jipe mwenyewe bana.Ukisikia sarakasi zinakuzeesha unaachana nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini Chadema wasimshtaki huyu mbunge na Supikaaaaaaaaaa katka Jumuiya ya Mabunge ya Madola?. Kwa Hii kesi ya jamaa kutangaza kujiondoa ubunge ubunge cdm na kujiunga ccm halafu juzi kuitwa na sponsor wake kupewa ubunge tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugai atajiwekea rekodi ya kipekee duniani!

Ndugai ni mfuata mkumbo tu, maagizo yote anayopata toka kwa Magufuli. Kwa bahati mbaya tuna katiba ambayo rais anaitekeleza kwa busara zake. Hiyo ndio sababu hasa ya kuvunja sheria kiwaziwazi, na kunajisi chaguzi zote za nchi hii. Wanaccm mwanzo walikuwa wanashangilia hiyo tabia maana hawawezi tena kushindana, lakini ukifumbia macho uovu, unatoa nafasi ya mwovu kufanya atakacho. Ni muda sahihi sasa wananchi wote wenye mapenzi mema kuangalia huu mwenendo wa kuchezea katiba.
 
..Cecil Mwambe na mama yake mzazi walirudisha kadi za CDM na kukabidhiwa kadi za CCM na KM Dr.Bashiru Ally.

..Sasa katika mazingira hayo kumrudisha Cecil Mwambe siyo kulidhalilisha bunge?

..nashangaa Spika Ndugai ameshindwa vipi kuelewa jambo rahisi kama hili.

Unafika wakati mambo ya hovyo kama haya unayadharu pamoja na wahusika wote.

..tatizo Ndugai anaboronga lakini ni kama vile hajui kuwa anaboronga.

..cha kushangaza ni jinsi wana-ccm wenzake wanavyomuacha tu aboronge.
 
..tatizo Ndugai anaboronga lakini ni kama vile hajui kuwa anaboronga.

..cha kushangaza ni jinsi wana-ccm wenzake wanavyomuacha tu aboronge.

Anafahamu anaboronga hilo halina ubushi,kinachonifadhaisha kama si kusikitisha anafanya hivyo kwa faida na maslahi ya nani ?.

Fedha zitakazotumika kumlipa mbunge aliyejiondoa chamani mwenyewe na kupokelewa na chama kingine kwa mbwembwe zingeelekezwa sehemu nyingine.

Nadhani Ndugai anaami hakuna maisha mengine nje ya siasa,kupelekea kutenda mambo ya hovyo pengine kulinda nafasi yake kwa udi na uvumba.
 
Kumbe Professor Safari ni msukuma mwenzetu! Wasukuma hoyee! Wagogo mna ndugai mchukueni na bashite anawafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

..na CDM ilikuwa na Wasukuma ktk nafasi ya Makamu Mwenyekiti[safari], Katibu Mkuu[mashinji], na Naibu Katibu Mkuu[mnyika], halafu kuna watu walikuwa wanasema hicho ni chama cha watu wa "Kaskazini."

cc Pascal Mayalla, Kalamu1 , tindo
 
Samahani sana mkuu JokaKuu.

Naona wewe mwenzangu una stamina kubwa kunishinda mimi.

Hawa watu (CCM na viongozi wao) walishafika mahali wanaona hakuna kitu kinachoweza kuwazuia kufanya lolote wanalotaka kulifanya, na hata ile hali ya kuwa na angalao aibu tu ya kufanya mambo yasiyokuwa ya kawaida nayo haiwasumbui tena.

Kwa hiyo nami nimefika mahali matukio kama haya hayanistui tena kwa kujua kwamba hakuna jipya linaloweza likatokea na kuyazuia.

Ndio maana basi, wakati huu nimeanza kujiandaa kisaikolojia, kutoshangazwa na matukio na mambo yatakayoambatana na kampeni, uchaguzi na matokeo ya Oktoba.

Sioni jambo litakalowazuia kufanya chochote kutimiza adhma yao.

Hii ndio sababu yangu ya kukuomba samahani kwa mada yako hii.
 
Mkuu unategemea nini kutoka Bunge linaloendeshwa na mwendawazimu aliyewahi kutamka hadharani, “Msinichezee mimi nina faili Mirembe”

..Cecil Mwambe na mama yake mzazi walirudisha kadi za CDM na kukabidhiwa kadi za CCM na KM Dr.Bashiru Ally.

..Sasa katika mazingira hayo kumrudisha Cecil Mwambe siyo kulidhalilisha bunge?

..nashangaa Spika Ndugai ameshindwa vipi kuelewa jambo rahisi kama hili.

..na CDM ilikuwa na Wasukuma ktk nafasi ya Makamu Mwenyekiti[safari], Katibu Mkuu[mashinji], na Naibu Katibu Mkuu[mnyika], halafu kuna watu walikuwa wanasema hicho ni chama cha watu wa "Kaskazini."

cc Pascal Mayalla, Kalamu1 , tindo
Sikujua kuwa Prof Safari ni msukuma. Huku ndipo tulikokuwa tumefikia waTanzania, hapakuwa na sababu kabisa ya kuhangaika kujua kabila la mtu yeyote,..., sasa ni sehemu mhimu.

Sasa kwa vile umemtambulisha hivyo, akili inaanza kunichanganya na jinsi alivyoachia uongozi CHADEMA.
Hivi alieleza sababu zilizomfanya aachie uongozi wa chama hicho?

Kuna uwezekano alipewa ushauri (kutoka juu); kama alivyoshawishiwa Mashinji?

Haya ni maswali yanayoniijia haraka haraka.

Kuna watu walimzungumzia sana Mnyika humu JF toka kitambo, na hata jana tu? Bado kuna juhudi hizo za kumnasa 'Msukuma Mnyika'?

Ni lazima waTanzania tufike mahala na kuyatambua haya mambo yalivyo na ni wapi yanakotuelekeza.
 
Mkuu unategemea nini kutoka Bunge linaloendeshwa na mwendawazimu aliyewahi kutamka hadharani, “Msinichezee mimi nina faili Mirembe”
BAK,
Wewe ni mtu wa ajabu sana.

Kuoa ndio kunakufanya upotee moja kwa moja?

Nimeshindwa kujizuia kukueleza hili kabla sijaondoka.

Karibu tena. Mengi yametokea wakati ukiwa umewekwa kimada.
 
😜😜😜 Mkuu utaoa hata kabla ya kuwa na mchumba? Unaondoka unaenda wapi tena Mkuu?

Ahsante sana Mkuu 🙏🏽 Nimeshakaribia.

BAK,
Wewe ni mtu wa ajabu sana.

Kuoa ndio kunakufanya upotee moja kwa moja?

Nimeshindwa kujizuia kukueleza hili kabla sijaondoka.

Karibu tena. Mengi yametokea wakati ukiwa umewekwa kimada.
 
Sikujua kuwa Prof Safari ni msukuma. Huku ndipo tulikokuwa tumefikia waTanzania, hapakuwa na sababu kabisa ya kuhangaika kujua kabila la mtu yeyote,..., sasa ni sehemu mhimu.

Sasa kwa vile umemtambulisha hivyo, akili inaanza kunichanganya na jinsi alivyoachia uongozi CHADEMA.
Hivi alieleza sababu zilizomfanya aachie uongozi wa chama hicho?

Kuna uwezekano alipewa ushauri (kutoka juu); kama alivyoshawishiwa Mashinji?

Haya ni maswali yanayoniijia haraka haraka.

Kuna watu walimzungumzia sana Mnyika humu JF toka kitambo, na hata jana tu? Bado kuna juhudi hizo za kumnasa 'Msukuma Mnyika'?

Ni lazima waTanzania tufike mahala na kuyatambua haya mambo yalivyo na ni wapi yanakotuelekeza.
Yaani tiss wanaharibu nchi kabisa, sijui hili hawalioni, na sijui inawasaidia nini, anyway mjue mtaishia kuzama kwenye bahari ya shamu kama wale askari wa farao waliozama na kufa pale pale. Pale walipotaka kuwangamiza wana wa israel. Mungu hataangalia kama unafuata amri toka juu (kwa farao).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom