Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

Majibu ya sisi wanairamba ni kwamba safar hii tafuta kaz yakufanya tofaut na ubunge
Unaona jamaa alivyo na majibu ya nyodo. Amesahau Kilimba pia alikuwa anajiamini hivyo hivyo lakini yeye mwenyewe alifanikiwa kumtoa.
 
Watu wanampigia kelele Zitto Kabwe haonekani jimboni kwake, wanawasahau wabunge wa CCM 90% wanajazana Dodoma na Dar es Salaam na kwenye majimbo yao hawaonekani kabisa kusaidia changamoto na kero za wananchi wao.

Hasa waliopata "VYEO" kwenye serikali hii. Ila muda ndio ushafika wa "MAPAMBANO".
Ila Mwigulu siku hiz kaweka kambi jimboni!
 
LABDA MB AJAE WA JF, ILA KWA IRAMBA WASUBIRIE WANAIRAMBA WAKUPE MAJIBU
Halafu ndugu jamaa yangu kaniambia kumbe kuna ujumbe unatuma kuwaomba wasikutupe. Ujumbe huo huo watakumaliza nao kwa sababu ushafika kwa wapinzani.
 
Kama unataka kugombea Iramba, gombea tuu kwa kusema utafanya nini, hakuna jimbo lolote ni mali ya mtu, huna haja ya kutumia jina la Magufuli kumtishia Mwigulu, Mbunge aliyepo ni Mwigulu na ni Mbunge wa jimbo la Iramba na amechaguliwa na wana Iramba na sio Mbunge wa jimbo la Magufuli, hivyo hivyo vitisho vya kuwa Magufuli atamkata, usitishe watu, wanaochagua ni wana Iramba, wakijiona kama bado wanamuhitaji Mwigulu wao na Magufuli kweli akamkata, its up to Wanairamba kumkubali huyo atakayepitishwa au kumchukua Mwigulu wao na kumrudisha kupitia chama kingine, hivyo ndivyo wapinzani wengi waliingia bungeni toka Dr. Slaa hadi Mwambe.

P
Mtoa mada ana hoja ya msingi ya kumshauri Mwigulu, ni kweli alionewa na chuki za magufuli, kwa hiyo anamtahadharisha kwa sababu magufuli ana watu wake (wapambe)
 
Umekosa kazi ya kufanya? Umekosa story ya kuandika? Ongelea hata Simba na Yanga tu. Kuliko KUONGELEA USICHOKIJUA.
Hii ndio style ya kujibu ya wabunge na viongozi wengi wa ccm, sijui ndivyo huwa wanafundishwa hivyo!!, Mwigulu, huwa mnashindwa nini (wewe na wenzako) kujibu hoja kwa hoja ?, na kwa kuonesha ueledi na heshima ?, tatizo lenu mnaamini mliumbwa kuwa watawala kitu ambacho mnakosea kabisa, kumbuka kuna kesho
 
Hii ndio style ya kujibu ya wabunge na viongozi wengi wa ccm, sijui ndivyo huwa wanafundishwa hivyo!!, Mwigulu, huwa mnashindwa nini (wewe na wenzako) kujibu hoja kwa hoja ?, na kwa kuonesha ueledi na heshima ?, tatizo lenu mnaamini mliumbwa kuwa watawala kitu ambacho mnakosea kabisa, kumbuka kuna kesho
Maneno kuntu. Je Mheshimiwa atayasikia?
 
Back
Top Bottom