Atabase Agaya
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 120
- 41
Tofauti ni vitako vya bunduki SMG ina kitako cha mti wakati AK 47 ina kitako cha chuma cha kukunja hivyo kurahisisha ubebaji wake.
Tofauti ni vitako vya bunduki SMG ina kitako cha mti wakati AK 47 ina kitako cha chuma cha kukunja hivyo kurahisisha ubebaji wake.
Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?
Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?
Bunduki haiui watu,watu ndo wanaua watu .....Prof J
Functionality mechanism???
Functionality mechanism???
Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?
Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?
Na i feel sana hio mashine one day ntaitafuta pia msisahau revolvers na Riffles ka historia katamu
nchi zilizoendelea hawatumii sana bunduki yako uliyo sifia hapa
halafu mi naona ak47 inapendwa sababu ya bei yake, maana hata waasi wanazo nyingi inaonyesha ni bei nafuu. ak47 ingekuwa ni gari ingekuwa toyota VTs halafu hizo za magharibi zingekuwa range.