Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, Mikhail Timofeyevich Kalashnikov

Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, Mikhail Timofeyevich Kalashnikov

Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?

Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?
 
Tofauti ni vitako vya bunduki SMG ina kitako cha mti wakati AK 47 ina kitako cha chuma cha kukunja hivyo kurahisisha ubebaji wake.

SMG ina vitako vya aina mbili, vitako vya mbao na vitako vya chuma ambavyo unaweza kukunja. na SMG zenye vitako vya chuma hutengenezwa zaidi china ambao ndio wagunduzi wa silaha hii...labda kama kuna tofauti nyingine
 
Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?

Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?

Wewe mwenye jipya na hodari Wa kuingia mitandaoni umeleta added value gani kwa jamii?
 
Nimepata brief history nzuri sana kuhusiana na huu mjegejo wa AK47.
 
Jamani mi hawa jamaa waliotengeneza hizi silaha uwa naona wako punguani kidogo. Maana utatengenezaje silaha ili tu umuuwe mwenzako?? Khaaa!. Kuna ma nyuklia, atomic, silaha hatari saaaana, ambazo hata alozitengeneza anajuta kwanini alitengeneza. Wote walaaniwe hawa.
 
Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?

Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?

Tupo hapa kujifunza mkuu.
Na kama wewe unapata access ya mtandao usidhani kwamba wote tupo Kama wewe.
By the way, jf hatutafuti sifa kijana.....
 
nchi zilizoendelea hawatumii sana bunduki yako uliyo sifia hapa

halafu mi naona ak47 inapendwa sababu ya bei yake, maana hata waasi wanazo nyingi inaonyesha ni bei nafuu. ak47 ingekuwa ni gari ingekuwa toyota VTs halafu hizo za magharibi zingekuwa range.

Pamoja na maelezo yote hayo bado hujui kwa nini AK 47 ni chaguo la magaidi? Pole sana.
 
Back
Top Bottom