Uchaguzi 2020 Mburahati, Dar: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

Mvua ni neema, tupo hapa viwanja vya barafu ( Kigogo Mburahati) muda huu.
 
Polepole kichwa kinamuuma maana kapewa pesa nyingi sana za kuihujumu kuidhoofisha CHADEMA lakini mungu anawalinda hujuma zinadunda na yeye pesa anaipenda
 
Ndo ujue yule ni nabii wa bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16]
 
si wana ubia na waganga wajadi nchini sana wale walimtishia Membe asichukue fomu yakuchuana na Magu wazee wa Bariadi na Gamboshi ...kama vipi basi wawabipu ili wakate mvua.
 
UBUNGO KAMA MNATAKA MAENDELEO CHAGUA CCM - JPM

UBUNGO HAKUNA BARABARA ZA MITAA KWAKUA MMECHAGUA CCM

"Hakuna Makao Makuu Ya Wilaya " hii amesahau kwani tayari makao makuu ya wilaya ya ubungo ipo tayati.

MIMI NDIO NILIOMBA PESA ZA KUJENGA UBUNGO FLY OVER ...KUNA WATU WANASEMA WAO NDIO WALIOMBA ,,,NI WAONGO - JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…