tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Kwa hilo me sina uhakika, but duka analo na hata huwa ana huduma inaitwa mkopo express kama sikosei. Hata ukiingia kwenye blog yake nahisi utaona baadhi ya vitu anavyouza dukani kwake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyo ni mzima ila anajifanya chizi tu,kma anabiashara c timamu huyo yani anatuaibisha wachaga ila hatuna cha kufanya
Ndo tumuombee tu mchaga mwenzenu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ana miaka 40 now, apart from vyupi nahisi ana duka lake, kuna siku alihojiwa kwenye mboni show alikuwa dukani kwake
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Inasikitisha, kwa umri huu na mwenendo huo ni dalili ya mwanzo wa mwisho mbaya.
Kwa hilo me sina uhakika, but duka analo na hata huwa ana huduma inaitwa mkopo express kama sikosei. Hata ukiingia kwenye blog yake nahisi utaona baadhi ya vitu anavyouza dukani kwake.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
KWA MBUTA yote ynawezekana.....bwana samahani sna nipo chini ya miguu yako kuna mtangazaji mtanzania anakuja anakuja kunihoji sasa na mimi nauza vyupi nataka pa kuongelea ili niuze si unajua tena biashara MATANGAZO?mana nikisema aje anihojie nyumbani nitaaminikaje...we angalia ile picha aliyopiga na mkulu ...angalia kwamakini ni kwambaa alikurupuka toka kwenye kundi la watu nchini uingereza mkulu alipokuwa amekwenda wizarani...sasa na wakati huohuo mpiga picha wake yuleeee kwenye vyupi akawa stand by`
Hahaha sidhani kama aligongea hilo duka bana. Otherwise awe analigongea daily coz naona anapigaga picha nalo mara nyingi sana. Ana picha za viongozi wengi sana wakiendaga huko London anajiphotoa nao na hata wasanii wengi tu wa bongo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums