Mbuta Nanga ni balaa

Mbuta Nanga ni balaa

Kwa hilo me sina uhakika, but duka analo na hata huwa ana huduma inaitwa mkopo express kama sikosei. Hata ukiingia kwenye blog yake nahisi utaona baadhi ya vitu anavyouza dukani kwake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huyo ni mzima ila anajifanya chizi tu,kma anabiashara c timamu huyo yani anatuaibisha wachaga ila hatuna cha kufanya
 
Ana miaka 40 now, apart from vyupi nahisi ana duka lake, kuna siku alihojiwa kwenye mboni show alikuwa dukani kwake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Inasikitisha, kwa umri huu na mwenendo huo ni dalili ya mwanzo wa mwisho mbaya.
 
Kwa hilo me sina uhakika, but duka analo na hata huwa ana huduma inaitwa mkopo express kama sikosei. Hata ukiingia kwenye blog yake nahisi utaona baadhi ya vitu anavyouza dukani kwake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

KWA MBUTA yote ynawezekana.....bwana samahani sna nipo chini ya miguu yako kuna mtangazaji mtanzania anakuja anakuja kunihoji sasa na mimi nauza vyupi nataka pa kuongelea ili niuze si unajua tena biashara MATANGAZO?mana nikisema aje anihojie nyumbani nitaaminikaje...we angalia ile picha aliyopiga na mkulu ...angalia kwamakini ni kwambaa alikurupuka toka kwenye kundi la watu nchini uingereza mkulu alipokuwa amekwenda wizarani...sasa na wakati huohuo mpiga picha wake yuleeee kwenye vyupi akawa stand by`
 
Hahaha sidhani kama aligongea hilo duka bana. Otherwise awe analigongea daily coz naona anapigaga picha nalo mara nyingi sana. Ana picha za viongozi wengi sana wakiendaga huko London anajiphotoa nao na hata wasanii wengi tu wa bongo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahaha sidhani kama aligongea hilo duka bana. Otherwise awe analigongea daily coz naona anapigaga picha nalo mara nyingi sana. Ana picha za viongozi wengi sana wakiendaga huko London anajiphotoa nao na hata wasanii wengi tu wa bongo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

SASA na ww hujui kama anauza na ni muuza DUKA INAELEKEA KUNA UNACHOPATA KWAKE MANA NAKUELEIMISHA hutaki yule hana kitu kichwani ni Zero!....kwani mimi nikipiga picha hata duka la mtu au namjua nikakwambia langu utabisha sisi tunaomjua ndo wenye kusema haya kwa uhakika sasa kama wewe unamwamini poa ukweli ni kwamba wakati mwingine anaomba kazi mbalimbali ili life lisonge likiwemo ilo la uuza maduka ya watu...hasa watanzania wenzakw walioko kule kwa huruma tu...we umesahau ile story aliyoletaga eti mbunge lema alimbaka..ivi ubakwe leo uende police bada ya miezi...inakuja akilini? yule ni kiki ndio anazotafuta hata iyo sijui mkopo sijui lipa laki upate sijui mabegi ni watu tu anaowaomba kwa jili ya kuendesha maisha hana ubavu na yote hayo ni kwamba life stlye yake wengi wanamkimbia ila kama unavyojua kila shetani na mbuyu huwezi kimbiwa na wote ndo mana unaona yote hayo...ila angerudi hapa mbona angewini tu kwa kujituma?
 
Back
Top Bottom