Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Hivi majay yuko vile?[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha.....acha hizo mkuu[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi majay yuko vile?[emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha.....acha hizo mkuu[emoji4]
Shida ukishakojoa afu ukarejea ulipokojoaNadhani kwa mwanamama tatizo lilikuwa ni upweke tu, unaweza kuwa na mali ila mwisho wa siku utahitaji mtu wa kuishi na hisia zako; ila kijana bado angeishi naye akawa anachapa nje kistaarabu na maisha yakaendelea
Ujapata upweke wewe,Silei mwanaume mimi.
Naapa silei mwanaume
Nasema hivi silei mwanaume mimi
Nakutoa siku ya kwwnza na ya pili nikikuona unachonga mzinga me ndukiiiiiiiiiiiii
Hamna,Binamuuuuuuu umeamuaaaaaaaa
Alivumiliwa tu,Hahaha aliolewa lakini na shela akavaa ujue
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ujapata upweke wewe,
Shukuru km unapata watu wanakutongoza
Kuna ke anamaliza hata mwaka mluzi hajapata
Huyu lazima achanganyikiwe siku akitongozwa
Kabisa,Akijianika Vby sana,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Model alikuwa yeye mwenyewe
Akafanya hadi ch..
UPi kubwa kubwa zikaitwa machupi ya mbutananga
Aisee.!Mwanaume wa zaman alikuwa anajiskia fahari kuhudumia mwanamke wake... tatizo siku hizi mnawapanga foleni so hutaweza kuwahudumia wote....na mnatake advantage ya hao poor girls kwamba mkiwa do mkiwaachia 20 kwake ni kubwa sana.
Mwanaume aliyekamilika lazima apende invoice ya ke anayemla
Duh..Huyu mbuta alikuaga na duka la nguo London
Basi akajaribu kubrand nguo zake Kwa kua Wana mitindo yeye mwenyewe, basi ilkuaga full vituko[emoji1787]View attachment 2556352View attachment 2556354View attachment 2556356
Mama j akiwa uchi Huwa anavutia balaaHivi majay yuko vile?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana huwa nasema sio wanawake wote huvutia wakiwa uchi, mbuta alipendeza Kwa mavaz ya kujistiriHaha eti kukosa ubunifuu
Ndo washaur wake alimwelekeza anapendeza[emoji4]Duh..
Halafu mguu hana lkn ana expose!
Uko uwanjan Kwan?Huyu shabiki wa simba hapa ngao eti anashangilia goli hadi ananibamiza mgongoni khaaaaaa kucheka nashindwa kumsema.nashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 AisehWaungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu.
Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane.
Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu muhimu mambele huko (UK) na hapa Tanzania ana maduka yake kati kati hapo jijini na kweli ingekuwa bongo angeweza kulala atakapo na kula atakacho. Kwa kuongezea tu ni kwamba akawa hana mume wala mtoto.
Sasa mwanamama huyu anayekaribia kugonga miaka 50 amejikuta baada ya mahusiano yake na mzungu kuangukia pua miaka mingi iliyopita anatamani tena kuitwa mke wa mtu.
Katika pita pita za mitandaoni msukuma mmoja wa huko Swekeni mwanza akajaribu bahati yake wakawa wapenzi na bimama huyu kuonesha yeye ni lover mama bakajenga nyumba ya kisasa usukumani mwanza. Mahusiano japo yalikuwa ya muda mfupi lakini kijana bila kupepesa macho akajiongeza kwa kumuahidi bi dada ndoa kwa muda mfupi waliofahamiana.
Kwakuwa mwanamama huyu ndoa ilikuwa ndo tamanio lake na wanaume kadhaa walishamuahidi ndoa wakaingia mitini na hela ya pete akiwemo msanii maarufu wa bongo movie mlela, basi hakujiuliza mara mbili akaipokea hii ndoa kwa mikono miwili.
Bila hiyana taratibu za utambulisho hadi ndoa zikafwatwa mama akawa tayari amekuwa Mr and Mrs. Na ndoto sasa ikawa imetimia (hivyo akawa ana mali zake, ana mume bado mtoto).
Maisha ya ndoa yakaanza. Kiijana akawa ashapewa access ya mali za bi mama, kijana akaanza kung'aa, kijana akawa mtu katika watu. Baada ya muda na yeye akapaa UK kwenda kuuungana na mkewe halali kuendeleza maisha ya ndoa.
Maisha ya UK hayakuwa matamu sana kwakuwa kijana alifwata yake UK na sio ndoa, mara polisi, mara kuibiana mali kuhamishia kwake, mara vipigo kwa mke na kumbuka hapo kijana anamiliki p...umbu tu ila analishwa analala pazuri na entertainment anapata kutoka kwa mke.
Kijana hakuacha kufukuzia wanawake wa ndoto zake na mara kibao alikuwa bila aibu anawapost IG. Kwa maana nyingine fedha za mama wa UK zilitumika kugharamia mademu wa mwanaume a.k.a msukuma King Ngwesa.
Baada ya uvumilivu usio na Tija bi dada akayamwaga manyanga na kuamua kwamba "no matter how sweet or bitter it is ...it has to end here..." ndoa ikaisha kama ilivyoanza.
Maswala mengine yaliyobaki kama hayo ya kuibiana ni ya kisheria.
Sasa nachojiuliza ni kwamba yes unataka ndoa, ni lazima utafute Mario? Mbona wapo wazee watu wazima ambao angeweza kuoana nao na maisha yakawa matamu. Ilikuwa lazima awe na huyu opportunist?
Ameharibu cash flow yake kwa kuingiza mzigo kwenye maisha yake Ambao umemgharimu muda fedha na hisia. Kibiashara angekuwa mbali sana kama asingehangaika na huyu ngosha gold digger kutoka mwanza mallya...
Wanawake tuepukeni wanaume wa kulea a.k.a Mario. He can't provide back him off. Hakuna huruma. Msiendekeze genye, ohoo!
I see ngoja niishie hapa. Siko poa nimechoka sana. Bata la bariadi halikuwa poa.
Jamani wale wa matusi hala hala mje na mapya. Lile tusi lenu la kuniita mala....ya nshalizoea. Do the needful.
View attachment 2556242View attachment 2556249
Hizi picha ni mbutananga na mumewe