Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Nadhani kwa mwanamama tatizo lilikuwa ni upweke tu, unaweza kuwa na mali ila mwisho wa siku utahitaji mtu wa kuishi na hisia zako; ila kijana bado angeishi naye akawa anachapa nje kistaarabu na maisha yakaendelea
 
Wema. ,anty,wolper,shilole,Joyce kiria wooote hao na list inaendelea unajua Kwa nini wanapenda vijana wadogo unaambiwa wanalamba uchi sio kitoto
Vijana wana swaga kuliko wazee; umri unavyosogea wazee wengi kwenye mahusiano ya kitandani wanakuwa wako chini sana, wakati huo mama anataka moto wa hatari, ili kuondoa makunyanzi. ndio maana wengi wanapenda vijana.​
 
Back
Top Bottom