Mwee! Hela sii katoa service ya mbususuEti huwa mkishamaliza mambo yenu mnatoa hela za nini kwa Ke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwee! Hela sii katoa service ya mbususuEti huwa mkishamaliza mambo yenu mnatoa hela za nini kwa Ke?
Pussy ya miaka 50 si unaijua hata mwonekano wake haikupi mzuka kivile af jimama lenyewe halina mvuto.Amekaa kama kmnyama fulani hivi hapo vijana wanaotaka fresh pussy, ambazo zina utelezi hawawezi kuvumilia watakaa kwa dhiki lakini sio love
Sanaaaa, ila na yeye amekomeshwaKuna wanaume ni "laana" kama yule mzee upara...
Haha kuna family friend wangu ana apartment 9 Arusha na 4 dsm anaduka la vipodozi chugaWaungwana salamu kwanza kama ilivyo desturi yetu.
Hii week kwangu ilikuwa hectic kidogo lakini pia nilipata nafasi ya kusafiri hadi kanda ya ziwa ndani ndani huko na kukutana na watu wapya hivyo kupata uzoefu mpya, wabheja sana wanawane.
Haya nirudi kwenye mada sasa. Mwanamama anamiliki vitu muhimu mambele huko (UK) na hapa Tanzania ana maduka yake kati kati hapo jijini na kweli ingekuwa bongo angeweza kulala atakapo na kula atakacho. Kwa kuongezea tu ni kwamba akawa hana mume wala mtoto.
Sasa mwanamama huyu anayekaribia kugonga miaka 50 amejikuta baada ya mahusiano yake na mzungu kuangukia pua miaka mingi iliyopita anatamani tena kuitwa mke wa mtu.
Katika pita pita za mitandaoni msukuma mmoja wa huko Swekeni mwanza akajaribu bahati yake wakawa wapenzi na bimama huyu kuonesha yeye ni lover mama bakajenga nyumba ya kisasa usukumani mwanza. Mahusiano japo yalikuwa ya muda mfupi lakini kijana bila kupepesa macho akajiongeza kwa kumuahidi bi dada ndoa kwa muda mfupi waliofahamiana.
Kwakuwa mwanamama huyu ndoa ilikuwa ndo tamanio lake na wanaume kadhaa walishamuahidi ndoa wakaingia mitini na hela ya pete akiwemo msanii maarufu wa bongo movie mlela, basi hakujiuliza mara mbili akaipokea hii ndoa kwa mikono miwili.
Bila hiyana taratibu za utambulisho hadi ndoa zikafwatwa mama akawa tayari amekuwa Mr and Mrs. Na ndoto sasa ikawa imetimia (hivyo akawa ana mali zake, ana mume bado mtoto).
Maisha ya ndoa yakaanza. Kiijana akawa ashapewa access ya mali za bi mama, kijana akaanza kung'aa, kijana akawa mtu katika watu. Baada ya muda na yeye akapaa UK kwenda kuuungana na mkewe halali kuendeleza maisha ya ndoa.
Maisha ya UK hayakuwa matamu sana kwakuwa kijana alifwata yake UK na sio ndoa, mara polisi, mara kuibiana mali kuhamishia kwake, mara vipigo kwa mke na kumbuka hapo kijana anamiliki p...umbu tu ila analishwa analala pazuri na entertainment anapata kutoka kwa mke.
Kijana hakuacha kufukuzia wanawake wa ndoto zake na mara kibao alikuwa bila aibu anawapost IG. Kwa maana nyingine fedha za mama wa UK zilitumika kugharamia mademu wa mwanaume a.k.a msukuma King Ngwesa.
Baada ya uvumilivu usio na Tija bi dada akayamwaga manyanga na kuamua kwamba "no matter how sweet or bitter it is ...it has to end here..." ndoa ikaisha kama ilivyoanza.
Maswala mengine yaliyobaki kama hayo ya kuibiana ni ya kisheria.
Sasa nachojiuliza ni kwamba yes unataka ndoa, ni lazima utafute Mario? Mbona wapo wazee watu wazima ambao angeweza kuoana nao na maisha yakawa matamu. Ilikuwa lazima awe na huyu opportunist?
Ameharibu cash flow yake kwa kuingiza mzigo kwenye maisha yake Ambao umemgharimu muda fedha na hisia. Kibiashara angekuwa mbali sana kama asingehangaika na huyu ngosha gold digger kutoka mwanza mallya...
Wanawake tuepukeni wanaume wa kulea a.k.a Mario. He can't provide back him off. Hakuna huruma. Msiendekeze genye, ohoo!
I see ngoja niishie hapa. Siko poa nimechoka sana. Bata la bariadi halikuwa poa.
Jamani wale wa matusi hala hala mje na mapya. Lile tusi lenu la kuniita mala....ya nshalizoea. Do the needful.
View attachment 2556242View attachment 2556249
Hizi picha ni mbutananga na mumewe
Hah ha ha .....Nami niliingia kwenye mkumbo wa kumlaumu Ngosha,
Ila kwa picha hii Ngosha anastahili pole za kutosha.
Hili jimama lina laana aisee nilikuwa sijaiona pic yake akiwa amevaa pichu 🤔🤣🤣🤣Uyo mbuta dish limeyumba,
Kuna kipind alidate na mc pilipili
Ilikua ni vituko Kila kukicha mitandaoni
Akijaribu kushow love Kwa kipenzi chake pilipili[emoji1787]
View attachment 2556334
Huyu mbuta alikuaga na duka la nguo London
Basi akajaribu kubrand nguo zake Kwa kua Wana mitindo yeye mwenyewe, basi ilkuaga full vituko[emoji1787]View attachment 2556352View attachment 2556354View attachment 2556356
Kutana na Mwana mitindo wa kimataifa Mbuta nanga[emoji1787]View attachment 2556363View attachment 2556364View attachment 2556365
Ulishayakanyaga mwanangu ...tayari...uzoefu umeachiwa🤣🤣🤣🤣Shida wanaume ambao hawana hela wanajua KUIGIZA kupenda. Yaani wakiona mwanamke ana hela wataonesha mahaba yote. Usipokuwa makini unazama mzima mzima.
Kwahiyo simshangai sana ila nimemuonea huruma.
Uzuri wa haya mambo, kupotea njia ni mara moja ukirudia kupotea tena basi wewe umeamua uteseke.
Hapana mimi bado . Mwanaume akiwa hana hela hata mazoea nilikuwa sitaki kabisa.Ulishayakanyaga mwanangu ...tayari...uzoefu umeachiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni mchambaji huyu yuko viwangovya juu maana mpk miguu inatumika..ila.isije ikawa kilema jamani
Huyu mbona kama dishi limeyumba?Kwenda sana ulaya hakuondoi ushamba
Huyu mbutu anazidiwa ujanja na mabinti wa buza
Mwanamke gani ata kupose kwny picha hawezi[emoji848]View attachment 2556348
Hiyo miguu ndo nimeionea huruma daaaha aje nimpunguzie minoufuuuKwenda sana ulaya hakuondoi ushamba
Huyu mbutu anazidiwa ujanja na mabinti wa buza
Mwanamke gani ata kupose kwny picha hawezi[emoji848]View attachment 2556348
😂😂😂😂😂😂hizo picha sasa🙌
Mwehu huyoHuyu mbona kama dishi limeyumba?
Hivi haya mapozi alikua anafanya utani au??Kutana na Mwana mitindo wa kimataifa Mbuta nanga[emoji1787]View attachment 2556363View attachment 2556364View attachment 2556365