Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Shida wanaume ambao hawana hela wanajua KUIGIZA kupenda. Yaani wakiona mwanamke ana hela wataonesha mahaba yote. Usipokuwa makini unazama mzima mzima.

Kwahiyo simshangai sana ila nimemuonea huruma.

Uzuri wa haya mambo, kupotea njia ni mara moja ukirudia kupotea tena basi wewe umeamua uteseke.
Mkuki kwa nguruwe Hannah Nakadori
 
Silei mwanaume mimi.
Naapa silei mwanaume
Nasema hivi silei mwanaume mimi
Nakutoa siku ya kwwnza na ya pili nikikuona unachonga mzinga me ndukiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom