Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Nadhani kwa mwanamama tatizo lilikuwa ni upweke tu, unaweza kuwa na mali ila mwisho wa siku utahitaji mtu wa kuishi na hisia zako; ila kijana bado angeishi naye akawa anachapa nje kistaarabu na maisha yakaendelea
Shida ukishakojoa afu ukarejea ulipokojoa
Stimu zinakata kabisa kuendelea na mahusiano

Hatar sn unakua na mwanamke ata kumtambulisha Kwa wenzio unashindwa,

yaan mkeo mwnyw Ili umle mpk uwe na k-vant kichwani
 
Silei mwanaume mimi.
Naapa silei mwanaume
Nasema hivi silei mwanaume mimi
Nakutoa siku ya kwwnza na ya pili nikikuona unachonga mzinga me ndukiiiiiiiiiiiii
Ujapata upweke wewe,
Shukuru km unapata watu wanakutongoza
Kuna ke anamaliza hata mwaka mluzi hajapata
Huyu lazima achanganyikiwe siku akitongozwa
 
Ujapata upweke wewe,
Shukuru km unapata watu wanakutongoza
Kuna ke anamaliza hata mwaka mluzi hajapata
Huyu lazima achanganyikiwe siku akitongozwa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kweli eeh
Hivi kama kweli nna huo upweke si navaa tu kimtego mtego napita mtaani
Sijawah toka home hadi Town sijatongozwa asee tena sio mmoja
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Model alikuwa yeye mwenyewe
Akafanya hadi ch..
UPi kubwa kubwa zikaitwa machupi ya mbutananga
Kabisa,Akijianika Vby sana,
Ubahili na kukosa washaur wazur
 
Aisee.!
 
Huyu shabiki wa simba hapa ngao eti anashangilia goli hadi ananibamiza mgongoni khaaaaaa kucheka nashindwa kumsema.nashindwa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…