Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

Hii ya wivu nshaiski mahala, kuna jamaa alikuwa analifuga tena sio kwa kulifungia bandani kashalizoea huwa anacheza nalo, sasa maisha yanaendelea akabahatika kupata mtoto hivyo muda mwingi ye akawa anatumia kucheza na mtoto mbwa akawa kampotezea kwa mbali.
Kumbe jibwa linaona wivu lishammaindi mtoto siku wamejiachia limemlia timing likamtafuna mtoto mpaka akafa.
Jamaa akaingia ndani akachukua cha moto akalitwangaa za kichwa likafa.
Tufuge tu wa kiswahili
 
nna mbwa koko wangu ila ni hybrid, mkia mfupi manyoya mengi...!!
Hata nisafiri mwaka mzima nikirudi kuna sound anatoa na jinsi ya kutikisa mkia ikiwa ni ishara ya utii kua nafahamu umerudi boss..
Nilikumis sana karubu home.
 
Habari za Asubuhi Team. Usiku wa kuamkia Tarehe 8/1/2023 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu yetu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.Walikuwa Mbwa wawili aina ya Bulldog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumani kwake Usagara.

Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.

Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula.

Baada Familia huo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.

Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya.

Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.

Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji.

Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.

Majeruhi wote wanaendelea vizuri.Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.

View attachment 2867407View attachment 2867408
Hawa ni Bulldog pekee duniani wenye mikia mirefu kama wa mamba.
Kabisa
 
Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto.

View attachment 2865985
View attachment 2867418
Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi nyumbani kwake Usagara, Mbwa hao walimshambulia binti yake wakati ametoka nje usiku huo wa saa Nne akiwa amesindikizwa na kaka yake, mara baada ya uvamizi huo kijana mwingine na mama yao walitoka kutoa msaada lakini Mbwa hawakuwatii na kuwashambulia wote.

Wote walioshambuliwa na Mbwa sio wageni kwa Mbwa hao kwani wamekuwa wakiwahudumia kwa chakula, baada Familia hiyo kujinusuru na kukimbilia ndani Mbwa waliendelea kuwa wakali na hapakuwa na uwezekano wa kuwapatia huduma majeruhi kwani hakuna alieweza kuingia wala kutoka ndani ya uzio.

Wakati haya yanatokea Kunju alikuwa kazini zamu ya usiku na alipigiwa simu kujulishwa juu ya tukio huku na kuambiwa mmoja wa majeruhi ana hali mbaya, Tulibahatika kufanya mawasiliano na Polisi kituo cha Misungwi ili waweze kufika eneo la tukio waue Mbwa ili msaada kwa majeruhi Upatikane.

Kwa ushirikiano na Zombwe na Lenox tulifanikisha kumtoa Kunju Kazini ili akashiriki uokoaji. Polisi walifika Nyumbani kwa Kunju majira ya saa saba usiku wakitanguliwa na watu wa Maliasili na wafanikiwa kuwapiga risasi Mbwa wote wawili na Majeruhi wakapelekwa Hospilali ya Cf kwa Matibabu.

Majeruhi wote wanaendelea vizuri, Shukrani kwa wote walioshiriki Kwenye utatuzi bila kumsahau Sheik Abdallah Omari.
Saa 7 usiku
 
Hahahaa!!! Hiyo ova mrangi huwa anaitumia sana kumbe na wewe mdakuzi unaitumia...vipi lakini ushawahi kufuga
Nadhani alivutiwa na ubunifu wangu huo wa kuweka sahihi kwenye post zangu, naye akaamua kutumia baada yangu.

Ova
 
🙌😂 ukisoma huu uzi utagundua kila mwanajamiiforum ni mjuvi wa mbwa
 
How does the American XL bully ban work in England and Wales? Ownership of American bully XL dogs is restricted under the Dangerous Dogs Act 1991. Since 31 December 2023, it has been against the law to sell, give away, abandon or breed from an XL bully.
 
Back
Top Bottom