Mbwa anauzwa 300k

Ndio unipe sasa details zake zilizo pelekea hadi wewe kutaka kumuuza kwa 300k
nikuulize kitu mkuu, ungekua wew ungemuuza sh ngapi , hata pitbull puppies wa mwez na wik huwek kumpata kwa hyo hela , elewa huyu ni pure breed , male , na bado mdg , jina simfahamu but unaweza ukagoogle ukamjua vzur
 
watu wananunua mahennesy kila weekend na wanaspend zaid ya 1M kwanini usiwashaur wanunue mbuzi
Mbuzi hawezi shuka kila siku,ila kwa aliyezoea kupanda juu ya meza anaweza panda muda wowote na hata kila siku bilakuchoka😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…