mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mbona ana mawazo?picha zaid hizi hapa , location mwanza
View attachment 2949041View attachment 2949042View attachment 2949043
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ana mawazo?picha zaid hizi hapa , location mwanza
View attachment 2949041View attachment 2949042View attachment 2949043
Kwanini unasema unamuuza cheap na umri huujui? Unajuaje kuwa ni cheap? Miaka ya kuishi mbwa si unaijua lakini?sijajua mkuu sababu nilikua simfugi
mkuu hivi unajua bei za mbwa wa jamii hyo kweli , au unazani huyu ni mbwa koko wa kupewa bure ukiendaSabb ya kumuuza 300k ni nini
Ndio unipe sasa details zake zilizo pelekea hadi wewe kutaka kumuuza kwa 300kmkuu hivi unajua bei za mbwa wa jamii hyo kweli , au unazani huyu ni mbwa koko wa kupewa bure ukienda
c unajua kimesombwa na maji , hata ungekua wew mkuu usingekua na stress?Mbona ana mawazo?
nikuulize kitu mkuu, ungekua wew ungemuuza sh ngapi , hata pitbull puppies wa mwez na wik huwek kumpata kwa hyo hela , elewa huyu ni pure breed , male , na bado mdg , jina simfahamu but unaweza ukagoogle ukamjua vzurNdio unipe sasa details zake zilizo pelekea hadi wewe kutaka kumuuza kwa 300k
Mbuzi 6 hao kijijini hukoMbuzi watatu, naanza kufuga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm mzoefu huyo huwa tunagawa bure ndugu. Hamna kitu huyo. Ana minyoo. Ana mdondo.
watu wananunua mahennesy kila weekend na wanaspend zaid ya 1M kwanini usiwashaur wanunue mbuzi300k hebu acha utani basi,sii bora ununue mbuzi au kondoo utapiga thupuuu😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahUngeweka gender yake. Kama ni dume wateja wengi wa kike watagombania.
mkuu zile bia unazokunywaga weekend ungekua ushanunua hao mbuzi 6Mbuzi 6 hao kijijini huko
😂itakuwa anakumbuka kwao😃Mbona ana mawazo?
Mbuzi hawezi shuka kila siku,ila kwa aliyezoea kupanda juu ya meza anaweza panda muda wowote na hata kila siku bilakuchoka😃watu wananunua mahennesy kila weekend na wanaspend zaid ya 1M kwanini usiwashaur wanunue mbuzi
Sema nini....muuzaji haujakaa kinyonge, utafika mbali...mkuu zile bia unazokunywaga weekend ungekua ushanunua hao mbuzi 6
picha zaid hizi hapa , location mwanza
View attachment 2949041View attachment 2949042View attachment 2949043
NakaziaMimi nakushauri hizo picha ungezifuta kwanza. Halafu ungemlisha huyo mbwa hata kwa miezi miwili hivi, na kumsafisha vizuri ili apendeze!
Baada ya hapo, pige tena picha na kuziweka humu jukwaani! Hakika utanishukuru.
Ungekapiga basi picha vizuri wapenda mbwa tukaone kama kanaendana na bei.