wakate rufaa, waseme alikuwa amechanganyikiwa kwa ugonjwa wakati akiandika huo wosiaMwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma kumtembelea wakati anaumwa magonjwa ya kizee ambapo wanyama hao ndio walikuwa wanampa faraja, urafiki na company.
Hata hivyo kutokana na vikwazo vya kisheria nchini China vinavyokataza usia wa moja kwa moja kwa wanyama, urithi huo sasa uko chini ya usimamizi wa kliniki ya mifugo ya eneo hilo.
Nini maoni yako?
DaaUnaambiwa mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu ame-make headlines kuwaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake alioukuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu.
Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wa kike wa kike kumtelekeza na kugoma kumtembelea wakati anaumwa magonjwa ya kizee ambapo wanyama hao ndio walikuwa wanampa faraja, urafiki na company.
Hata hivyo kutokana na vikwazo vya kisheria nchini China vinavyokataza usia wa moja kwa moja kwa wanyama, urithi huo sasa uko chini ya usimamizi wa kliniki ya mifugo ya eneo hilo.
#China #Shangai #Dogs #Cats #Animal
Yani unatamani hata uwe paka mtu huko chinaAiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula nini[emoji28]
Acha tu,.Yani unatamani hata uwe paka mtu huko china
Kuna sehemu comment yangu imekukwaza kwani?We nae Kila siku lazima useme huna hela.. it's boring๐ฎ๐ฎ
Everyday unalalamikaga kitu hicho hicho, it is not good at all, unajichoresha sana... Anyways am sorry ๐๐Kuna sehemu comment yangu imekukwaza kwani?
๐๐๐Halaf watu mnawatukana watu wakisema bora kuzaliwa mbwa ulaya!! ๐๐๐๐๐
punguza ushauri watu wana mipango yao tayariSAWA TU.ila angewaachia watoto yatima au maskini kwa mkataba wa kulea hao wanyama angebarikiwa sana au angeuza na kuwapa maskin angepata rehema kubwa kwa MUNGU
Nimesema kuwa sina hela hapo juu? au kuandika sijui nakula nini ndio nimemaanisha kuwa sina hela?Everyday unalalamikaga kitu hicho hicho, it is not good at all, unajichoresha sana... Anyways am sorry ๐๐