Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Hapo mimi ningekuwa ni jirani na makazi ya huyo bibi ningehakikisha najiweka karibu na huyo paka na mbwa na kuwapa upendo wa hali ya juu na nitakapoulizwa nitasema mimi na hawa wanyama tumeumizwa sana na huu msiba wa bibi, yule ndie alikuwa mzazi wetu, sasa sijui sasa hivi Fifi (paka) na Boubou(Mbwa) watalala vipi ila nitajitahidi kuwapa faraja.