Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sasa we nambie hapo, huo mkwanja wa hao mbwa na paka hapa bongo wewe au mimi tutakuja kuushika lin??๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa we nambie hapo, huo mkwanja wa hao mbwa na paka hapa bongo wewe au mimi tutakuja kuushika lin??๐๐๐
Si ndo hapoHalaf watu mnawatukana watu wakisema bora kuzaliwa mbwa ulaya!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am sorry ๐๐.. Hope you understand what I meantNimesema kuwa sina hela hapo juu? au kuandika sijui nakula nini ndio nimemaanisha kuwa sina hela?
Sijategemea kauli kama hii kutoka kwako.Everyday unalalamikaga kitu hicho hicho, it is not good at all, unajichoresha sana... Anyways am sorry ๐๐
Tuombe tu mara ya pili tukazaliwe mbwa huko majuu๐๐Sasa we nambie hapo, huo mkwanja wa hao mbwa na paka hapa bongo wewe au mimi tutakuja kuushika lin??
Of course yes, it sounds strange.. But you have to change... Don't mind anyways๐๐Sijategemea kauli kama hii kutoka kwako.
Itโs okay.
Huyo nyau kakuzidi maisha sio? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula nini๐
Umenifahamu Kupitia mtandao. Sio kila ninachoandika humu namaanisha!Of course yes, it sounds strange.. But you have to change... Don't mind anyways๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ huenda ikawa!Huyo nyau kakuzidi maisha sio? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
I don't think Kama tunafahamiana,,Have a nice day.. Am done with you darling ๐ถโโ๏ธ๐ถโโ๏ธ๐Umenifahamu Kupitia mtandao. Sio kila ninachoandika humu namaanisha!
Siwezi ku mind maneno ya mtandaoni.
Upweke tu qmamake watoto wamesepa umebakia mwenyewe unaona umwage mboga kwani ulizaa Mbwa na Paka?Aiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula nini๐
Ebu acha maskhara bana...๐คAiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula nini๐
Maskhara gani mkuu?Ebu acha maskhara bana...๐ค
Subhanallah.....๐โโ๏ธTuombe tu mara ya pili tukazaliwe mbwa huko majuu๐๐
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Zulu man unajisifia una pesa, kumbe wifi leo hajui atakula nini??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemquote tu jamaa hapo๐๐.. Au we umeridhika uncle kuziona billions kwenye maandishi tuSubhanallah.....๐โโ๏ธ