Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sasa we nambie hapo, huo mkwanja wa hao mbwa na paka hapa bongo wewe au mimi tutakuja kuushika lin??πππ
Si ndo hapoHalaf watu mnawatukana watu wakisema bora kuzaliwa mbwa ulaya!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Am sorry ππ.. Hope you understand what I meantNimesema kuwa sina hela hapo juu? au kuandika sijui nakula nini ndio nimemaanisha kuwa sina hela?
Sijategemea kauli kama hii kutoka kwako.Everyday unalalamikaga kitu hicho hicho, it is not good at all, unajichoresha sana... Anyways am sorry ππ
Tuombe tu mara ya pili tukazaliwe mbwa huko majuuππSasa we nambie hapo, huo mkwanja wa hao mbwa na paka hapa bongo wewe au mimi tutakuja kuushika lin??
Of course yes, it sounds strange.. But you have to change... Don't mind anywaysππSijategemea kauli kama hii kutoka kwako.
Itβs okay.
Huyo nyau kakuzidi maisha sio? π€£π€£π€£π€£π€£Aiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula niniπ
Umenifahamu Kupitia mtandao. Sio kila ninachoandika humu namaanisha!Of course yes, it sounds strange.. But you have to change... Don't mind anywaysππ
π€£π€£π€£ huenda ikawa!Huyo nyau kakuzidi maisha sio? π€£π€£π€£π€£π€£
I don't think Kama tunafahamiana,,Have a nice day.. Am done with you darling πΆββοΈπΆββοΈπUmenifahamu Kupitia mtandao. Sio kila ninachoandika humu namaanisha!
Siwezi ku mind maneno ya mtandaoni.
Upweke tu qmamake watoto wamesepa umebakia mwenyewe unaona umwage mboga kwani ulizaa Mbwa na Paka?Aiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula niniπ
Ebu acha maskhara bana...π€Aiseee! Watu wana pesa sana, wakati mimi leo sijui hata nakula niniπ
Maskhara gani mkuu?Ebu acha maskhara bana...π€
Subhanallah.....πββοΈTuombe tu mara ya pili tukazaliwe mbwa huko majuuππ
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Zulu man unajisifia una pesa, kumbe wifi leo hajui atakula nini??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemquote tu jamaa hapoππ.. Au we umeridhika uncle kuziona billions kwenye maandishi tuSubhanallah.....πββοΈ